Dr. Bilal kugombea Urais Tanzania 2015

Dr. Bilal kugombea Urais Tanzania 2015

Vipi Slaa na Lowassa nani kachoka zaidi?
2015 DR SLAA TOSHA!!

Umemaliza kila kitu , wanataka kutuletea ujinga uleule wa kizamani , HAKUNA MWANACCM ANAYEFAA KUWA RAIS WA TANZANIA KATIKA HAWA WALIOPO , FULL STOP ! CC JAMES MILLYA .
 
Mkuu unajua hapa ni jf great thinkers: si vizuri kuleta Habari za mitaani kupotezea Watu muda

popote atakapoziokota , lakini ukweli ni kwamba Kikwete ndiyo mwanaccm wa mwisho kabisa kuongoza Tanzania .
 
Back
Top Bottom