FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Unamfahamu Robert Mugabe?
Majanga.
Unamfahamu Robert Mugabe?
Nchi hii kuongozwa tena na kibaghalashia mtasubiri sana jamaa yenu amewaharibia sana
na Mugabe na mkubwa; ni msomiHe is too old for the post, I think.
hizo ni bangi za mchana or chimpumu . chama cha mapinduzi kinawatu wengi sana si kama vyama vingine vinategemea watu wawili or watatu. muda ukifika utajua.
tuacheni masihara aisee, yaani hata mimi ni juzi juzi tu hapa nilipofahamu kwamba JK na Dr. Slaa ama umri wao sawa au JK ni mzee kuliko Dokta!Dr Slaa hata mimi ananishangaza sana. Sijui ni masuala ya afya au nini yaani suruali imemvaa na uso umekunjana.
Hongera zake. Slaa na mbowe wanazidi kukosa fursa
You too? How about Salim? I think the question is will a Zanzibari be acceptable to the Tanganyikans?He is too old for the post, I think.
Hapana si hivyo. Lowassa afya yake na jinsi anavyomwaga fedha wakati huu, hafai kuwa Rais kwa mtazamo wangu.
Membe is too childish. Kutoka Zenj hainihusu kwani mimi ni Mtanganyika halisia, na sijui Nyerere aliifanya nini Tanganyika yangu.
Candidate mwingine ambae naona anafaa kuwa Rais ni Tyson.
Zaidi ya hao, tuombe Mwenyeezi Mungu atupe Rais atakae iongoza nchi vyema. Yeyote awae. Asitoke magwanda tu, huko hakuna presidential material mpaka dakika hii, labda Afande Sele! kwi kwi kwi kwi teh teh teh teh.
Wewe una vikura vingapi ..ina maana wewe kama kweli umesoma mpaka leo hujui nani mbaguzi au unajifanya kujitoa akili...angalia alhaji wenu mliyekuwa mnamwandaa kuwa waziri mkuu wanafakamia mpaka yatimaHivi utafanya nini na kikura chako kimoja, halafu watu wote sio wajinga kama wewe ambae anabagua watanzania wenzake kwa misingi ya dini, au kabila, elimu yako kama unayo haijakutoa ujinga
Hongera zake. Slaa na mbowe wanazidi kukosa fursa
Hivi utafanya nini na kikura chako kimoja, halafu watu wote sio wajinga kama wewe ambae anabagua watanzania wenzake kwa misingi ya dini, au kabila, elimu yako kama unayo haijakutoa ujinga
Mwislam yeyote hana nafasi ya kuwa rais wa Tanzania 2015. Rais ajaye ni LAZIMA awe Mkristo ili aukate mtandao wa Kiislam uliowekwa serikalini na Alhaj Kikwete.
Anaweza, agombee
You too? How about Salim? I think the question is will a Zanzibari be acceptable to the Tanganyikans?