Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
dini haina tatizo mazafanta mkubwa wewe,
Sheikh Mpe aya huyo...akileta za kuleta mshushe busha
dini haina tatizo mazafanta mkubwa wewe,
Atatuongezea gharama ya kumtizama First and Second lady
Mkuu naomba kwenda Mbali zaid, atoke Tanganyika na sio kwenye ile dini tena, tumekomaTeh teh, labda akagombee huko visiwani. Tunataka rais atoke tanganyika na si vinginevyo.
mkuu wasio na dini ni lini? 2020 au?Kweli kabisa 2015 mwaka wa wakristo.
Salimu Ahamed ni mualabu ,wagagagigikoko walimpinga na kumuengua ,unajua kama huyu Salimu akipewa basi nahisi atainyoosha Tz na kuiweka kwenye mstari ni mmoja kati ya watu ninaowafahamu kisiasa ,hana majungu na hamuogopi mtu ,anajiamini sana kwenye maamuzi hana urafiki kwenye kazi yaani kama hao majangili wakuu na mafisadi saa hii wangekuwa wananyea madebe..Well, labda niseme kuwa, kisiasa, Bilal ameanza kujulikana uzeeni na alikuwa bize kwenye mambo ya nyuklia sayans na Salim Ahmed Salim amekulia kwenye siasa. Hiyo ndio tofauti kubwa kati yao.
Mmoja ni mwana siasa na diplomat mwenye uzoefu wa miaka mingi sana na anaheshimika Tanzania nzima na mmoja ni mzoefu na mwana siasa wa uzeeni na pia anaheshimika Tanzania nzima.
Kwa mtazamo wangu kati ya hao wawili ningemchaguwa Salim Ahmed Salim kwa uzoefu wake wa siasa zetu, ambao ni maradufu zaidi ya Bilal.
Tatizo mmeshazoea Rais mpiga mipasho,vijembe,taarab na mpayukaji.akitokea mtu wa kazi na maneno machache hajui kuongea! Mchagueni Mrisho Mpoto au Mbwiga basi.
mkuu afadhali slaa mara 1000 kuliko kuchagua mzanzibar. Rais lazima atoke tanganyika awe slaa, membe,lowassa, zitto, lipumba, ok. Na sio wazanzibar.Babu Slaa kachoka zaidi,halafu ndo alikuwa mtawa huyu! Nguvu zimeisha mapema hivyo sijui alianza zamani kamchezo na josephine ndomana amechoka mapema.
Lowasa je acha ndoto za mchana
mwambie salim ahmed salm aliyekutuma kuangalia kna cha maji sisi tunamtaka lowasa ambaye yupo stong kusimamia maamuzi ya msingi si kuchekachekamwiba ;salimu ahamed ni mualabu ,wagagagigikoko walimpinga na kumuengua ,unajua kama huyu salimu akipewa basi nahisi atainyoosha tz na kuiweka kwenye mstari ni mmoja kati ya watu ninaowafahamu kisiasa ,hana majungu na hamuogopi mtu ,anajiamini sana kwenye maamuzi hana urafiki kwenye kazi yaani kama hao majangili wakuu na mafisadi saa hii wangekuwa wananyea madebe..
Ni Ajuza Kama weweHe is too old for the post, I think.
Salim alibebwa na Nyerere sana hana lolote huyo MwarabuWell, labda niseme kuwa, kisiasa, Bilal ameanza kujulikana uzeeni na alikuwa bize kwenye mambo ya nyuklia sayans na Salim Ahmed Salim amekulia kwenye siasa. Hiyo ndio tofauti kubwa kati yao.
Mmoja ni mwana siasa na diplomat mwenye uzoefu wa miaka mingi sana na anaheshimika Tanzania nzima na mmoja ni mzoefu na mwana siasa wa uzeeni na pia anaheshimika Tanzania nzima.
Kwa mtazamo wangu kati ya hao wawili ningemchaguwa Salim Ahmed Salim kwa uzoefu wake wa siasa zetu, ambao ni maradufu zaidi ya Bilal.
Mwanzoni ni kweli Mwinyi was Nyerere's choice. Lakini ukweli ubaki kuwa ukweli, Nyerere alipoona Mwinyi ni more popular "Ruksa". Mwishoni ndio akawa anampiga vijembe vya waziwazi. Nyerere nuksi.
Mkuu sisi hatuna udini, lakini ishu inatokea Rais akiwa mwenye dini hiyo ndiyo utaona udini unaanza. Watu hatukurupuki kusema hayo, na Video watu wanazo jinsi mashekhe walivyozunguka nchi nzima kumpigia kampeini Kikwete, kisa kawaahidi mahakama yao na vinginevyo. Pia ukitaka ushahidi tazama CD ya Lipumba msikitini