He is too old for the post, I think.
Mwinyi aliuzwa na Nyerere. Mzanzibari atakuwa na wakati mgumu sana kukubalika bara wakati huu wa vuguvugu la muumgano wa mkataba.
Mwislam yeyote hana nafasi ya kuwa rais wa Tanzania 2015. Labda wakagombee urais wa madrassa!
Tumekoma kuipa hiyo Dini Nchi
Tanzania ni Nchi Pekee Duniani yenye Ma Rais wa Tano, tena wote Dini Moja, nina uhakika unaijua.Ni nchi yenu eeh?!! Sasa mbona ponda akisema kuna mfumo kristo mnapinga kwa nguvu zote??!!!!!!!! Nyie jamaa hua hamjielewi kabisa!!
Kuna habari nimezinasa kwa kujulishwa na chanzo changu kuwa Yule Mwenza wa Kikwete Dkt. Mohammed Gharib Bilal atagombea Uraisi wa Tanzania ,huenda nikakubaliana na chanzo hicho kwani siku hizi Bilal amekuwa akionekana sehemu nyingi na karibu anatembelea kila mkoa kiaina na kuhudhuria mambo mengi.
![]()
Huyu ambae hata kuzungumza hajui?
I thought Dr. Shein can be a good candidate not to forget Salim Ahmed Salim, Dr. Asha Rose.
Mwigulu Nchemba. Kwi kwi kwi teh teh teh!
Kiumri Dr Bilal wanatofautiana sana na Dr Salim? Kwa kuwaangalia tu sioni tofauti.
Bilal huyu huyu ninayemfahamu mimi? Huyuhuyu mara mbili anagalagazwa kwenye kinyang'anyiro cha urais? Huyu huyu anaeongea kwa kukumbuka aliyokaririshwa? Huyuhuyu aliyesomea topic moja tu ya mabomu {nyuklia}? He! makubwa.Kuna habari nimezinasa kwa kujulishwa na chanzo changu kuwa Yule Mwenza wa Kikwete Dkt. Mohammed Gharib Bilal atagombea Uraisi wa Tanzania ,huenda nikakubaliana na chanzo hicho kwani siku hizi Bilal amekuwa akionekana sehemu nyingi na karibu anatembelea kila mkoa kiaina na kuhudhuria mambo mengi.
![]()
hata kapuya wewe unaweza kugombea urais.
Mshikaji unaonekana umeshiba sana ukristu, safi sana.