Dr. Bilal kugombea Urais Tanzania 2015

Dr. Bilal kugombea Urais Tanzania 2015

Haha..huyu jamaa naikubali elimu yake ila sijui km ina tofauti na ya Lipumba na muhongo.Ninachopata shida nae sana ni jinsi anaongea ,sijui ni uzee, sijui ana matatizo ktk neva au anashida gani...anaonekana km anasikia baridi full time.


Pengine tumtendee haki km hajasahau elimu yake ya Nuclear aende kule Arusha akajenge kile kituo.FULL STOP.

Dah....! Baridi muda wote!?
 
Kweli JK amefanya Urais uonekane 'urahisi',hata huyu mtembea na mikasi!?

haijalishi kama kzi anajua acha apewe,Tanzania sasa haiitaji blabla nyingi watuwanataka mambo yafanyike nayaonekane,sio mbwembwe za mfuko wasiment utaku elfu tano,mara mabati sijui bure...
 
Huyu ambae hata kuzungumza hajui?

Hajui kuzungumza lakini huyu jamaa nafikiri ni THE ONLY NUCLEAR SCIENTIST APA tanzania.....ama? Sijui nank bora kati yake alosoma au mchungaji kondoo na disco joker.
 
anaenda kila mkoa kwa sababu hana kazi!!! mzanzibar kua rais wa muungano ni sahau icho chama kitachopitisha mgombea wa urais mzenji kinajichimbia kaburi...... watu milion moja out of 44 hawawezi kupewa marais wawili kwa kipindi kifupi ivi since uhuru!!!
 
Nitaumia sana maana uzoefu unaonesha Maraisi wenye imani kama ya Kwake wakiingia madarakani watu wa imani hiyo uanza chokochoko za kidini wakitaka kumwaga damu za watu kisa eti wanadai haki zao kutoka kwa Watanzania wenzao
 
Hajui kuzungumza lakini huyu jamaa nafikiri ni THE ONLY NUCLEAR SCIENTIST APA tanzania.....ama? Sijui nank bora kati yake alosoma au mchungaji kondoo na disco joker.

Hakuna mtaalam wa NUCLEAR hapo. Sema ana utaalam wa THEORY YA NYUCLEAR. Kafanya nini?
 
Mimi siamini kama kuongea sana ni sifa ya kuwa Rais. Mfano Kibaki hakuwa anaangea kama chiliku kama JK lakini kafanya makubwa Kenya. Ukitazama wanasiasa wanaoongea kama chiliku ni Watanzania na hakuna kitu wanafanya. Kwa nchi za wasomi wao usikiliza sera zako na jinsi ya ku solve matatizo na siyo kuongea kama chiliku
 
Teh teh, labda akagombee huko visiwani. Tunataka rais atoke tanganyika na si vinginevyo.
 
Ww kweli mzushi kama ID yako mijitu kama nyie ndo mnaeneza chuki za udini ili tuje tuchague watu kwa mising ya dini zao ndo mtafurah mijitu ya hiv siipendi sanaa
 
Kwa miaka 70 kuongoza term moja sio vibaya sana kama alivyofanya Mandela. Isitoshe jamaa ni kichwa mahiri hicho, so hapajaharibika kitu. Wakati mwingine ni kheri ya hao wazee kuliko vijana. Again, Dr. Bilal ni bora hata mara 10 million kuliko akina January
hakuna haja ya kuchagua vikongwe hivo, pia wazanzibar kwa urais wa muungano wasahau.
 
dini haina tatizo mazafanta mkubwa wewe,

Mkuu sisi hatuna udini, lakini ishu inatokea Rais akiwa mwenye dini hiyo ndiyo utaona udini unaanza. Watu hatukurupuki kusema hayo, na Video watu wanazo jinsi mashekhe walivyozunguka nchi nzima kumpigia kampeini Kikwete, kisa kawaahidi mahakama yao na vinginevyo. Pia ukitaka ushahidi tazama CD ya Lipumba msikitini
 
Mwislam yeyote hana nafasi ya kuwa rais wa Tanzania 2015. Rais ajaye ni LAZIMA awe Mkristo ili aukate mtandao wa Kiislam uliowekwa serikalini na Alhaj Kikwete.
Kweli kabisa 2015 mwaka wa wakristo.
 
Back
Top Bottom