Dr. Bilal and the Future of COSTECH

Dr. Bilal and the Future of COSTECH

mtanzania na wenzako mnaodai Dr.Bilal mtu wa Rushwa mna ushahidi? wekeni hapa acheni FITNA NA MAJUNGU...file zipo zitamwagwa kilichokuwa kinafanyika pale ELIMU ya JUU....mnakijua..ila hamtaki watu wa kuwaambia UKWELI...nyie mmezoea kukaa na akina YES MAN...watu wanaochallenge hamuwataki...
 
You are absolutely right. Tumekuwa watu wa kufikiria kwenye boksi, kila tukifikiria cheo fulani tunawafikiria walewale tu. Kuna watu wetu wengi wamesoma na wanafanya mambo makubwa ambao hatuwajui. Ukitaka kuwapata hawa tangaza nafasi kama hizo kwenye magazeti na uweke sifa unazotaka, uone. Lakini kama tutaendelea na mtindo wa kuteuana, hakuna ujanja itabidi kuishia kuteua makada tu ambao ni walewale tu. Inabidi tutoke kwenye shimo. Hapa Uingereza hata u-director nyeti kama ule wa DfID wanatangaza, lakini sisi hata uVC tunateuana. Huu uhuni lazima tuuache.

PS: Nakumbuka executive directors wa benki nyingi za binafsi Dar ni a jamaa tuliyosoma nao mlimani na wanafanya mambo makubwa sana.

Tatizo la bongo ni kurithishana hakuna competition ndiyo sababu hatufanikiwi. Nafikiri huu mfumo wa rais kuteua Mawaziri, maPS, Mabalozi, Wakuu wa mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa mashirika, Wakuu wa Vyuo, Wakurungezi etc. inatupunguzia sana ufanisi and is too much and unneccessary power kwa rais. Inabidi uwe na political connection kupata cheo TZ. Wenzetu vyeo vya wakurungezi lazima itangaze na interview ifanyike.
 
mtanzania na wenzako mnaodai Dr.Bilal mtu wa Rushwa mna ushahidi? wekeni hapa acheni FITNA NA MAJUNGU...file zipo zitamwagwa kilichokuwa kinafanyika pale ELIMU ya JUU....mnakijua..ila hamtaki watu wa kuwaambia UKWELI...nyie mmezoea kukaa na akina YES MAN...watu wanaochallenge hamuwataki...

Chuma,
Unataka ushahidi gani, unasema tungepiga video kumkamata akipokea rushwa?

Sipo kwenye majungu, suala la hawa waheshimiwa watatu mimi nimekuwa nikiliongea tokea miaka ya 90 kwenye vijiwe mbalimbali. Kuna jamaa zangu wazito serikalini walinibishia sana na kusema majungu hasa kuhusu Mahalu na Mkapa, nikawaambia mimi kwa mfano nilikuwa namheshimu sana prof. Mahalu toka tuko pale mlimani wakati huo ni dean lakini niliyekuja kumwona wizarani ni Mahalu mchafu tu. Uzuri wa dunia ni ni kwamba kama unasema ukweli time ndio mwamuzi. Mara Mahalu akachota huko Italy, jamaa wakasema kumbe Mtanzania ulikuwa unasema ukweli, jamaa kaamua kula bila hata kunawa?

Haikupita muda mambo ya Mkapa yakaanza kuanikwa nje nje.

Mkuu hao waheshimiwa nawafahamu vizuri mno maana ndio tulikuwa tunapita hapo kuja Ulaya, lakini pia kama viongozi wa wanafunzi, tumeshagongana nao mno. Ukweli ndio kama nilio uandika kama unataka ushahidi wa video sina.

Kwa mtu anayejua yaliyokuwa yanaendelea pale elimu ya juu miaka ya 90 anaweza kuelewa wazi kwanini Mkapa hakumuunga mkono Bilal. Hao watu walikuwa hawaelewani maana Bilal alikuwa kila kitu kwa Mwinyi na kumwacha waziri Mkapa. Ni kipindi hicho ambacho urafiki wa Mkapa na prof. Mahalu ulianza, wote walikuwa na common enemy.

Hao akina Bilal ni kuwapotezea muda Wazanzibari tu, hakuna jipya analoweza kufanya maana hata pale elimu ya juu hakuwa na jipya. Nchi ina vijana wengi wasomi, tuwe tayari kuwaamini na kuwapa madaraka. Tunahitaji mabadiliko, hayo mabadiliko hayataletwa na watu kama akina Bilal maana hao ni sehemu ya tatizo.
 
Mtanzania,
Hivi kubugia na kula rushwa ni tofauti? Over. Bilal kumpeleka COSTECH sii sahihi- kwa umri wake- na tayari siasa zimeshamwaribu, atafutwe tu cnidate mwingine- hata CV ya mama Kingamkono- imekaa tu vizuri- na pia ni mama mwadilifu!

Kwi kwi kwi!!!!! nafikiri anayebugia huyo ni zaidi ya yule anayekula maana hata hawezi kuona aibu.
 
Hizo enzi za Bilali za Cost shairing!! Lakini nilisikia Bilali na Nkapa walikuwa hawaivi kabisa. Bilali alikuwa analindwa na Mwinyi na Nkapa JKN. Nasikia ilifikia time mpaka alikuwa antoa maamuzi mazito bila kumshilikisha Nkapa. Nkapa alishamkamia kumshughulikia lakini Salmini akamuokoa kumpa u-Chief Minister. Hayo ndiyo yalikuwa majungu chuo kabla ya uchaguzi 1995!!!

Mr. Zero,

Huo ni ukweli mtupu, soma comment yangu kwa Chuma. Mkapa alivyopata urais jamaa bahati akaokolewa Zanzibar kama ulivyosema.
 
Mtanzania,
hapo umeshusha vyote kabisa, kwa kuongezea t kwa niliyoyaona miaka ile huyu jamaa Bilali hatufai kabisa kwanza ana upendeleo wa wa wazi kwa wazanzibari bila hata aibu..
Hivi mtanzania hujawahi kuisikia ile story alivyompeleka ndugu yake kusoma Poland? kwa utaratibu tofauti ambao unatakiwa kufuatwa?
 
Yaani JF hadi raha, naamini ingekuwapo tangu zamani pengine Mr clean asingetutenda kiasi hiki!

Make kwa mwendo wa kumkoma nyani namna hii, walau ingemtia speed gavana mguuni!, Nasema hivi kwasababu, sikujua kwamba hata Dr. Bilal naye anayake makubwa japo ya siku za nyuma!

Bravo JF!
 
Namfahamu Bilal personally wakati akiwa pale UDSM. Ni kweli amesomea Nuclear Physics, lakini hata hivyo siyo mkali sana katika field yake kiasi cha kumweka kwenye world standard. Muda wote aliofundisha pale chuo kikuu cha Dar es salaam hakuweza kuandika paper 6 tu zilizotakiwa kumpandisha kuwa Associate Professor. Ingawa si vizuri kuwazungumza wenzetu vibaya, ukweli kuwa hata uongozi wake pale Elimu ya juu ulikuwa na mashaka ni kipimo tosha kuonyesha uwezo wake katika kukabiliana na mambo yanayomhusu (iwe physics au siasa).

Anaweza kuwa ni bora kuliko Karume katika siasa kwa kulinganisha two devils, lakini sidhani kama atatusaidia lolote kisayansi akipelekwa COSTECH.
 
[SIZE="3" said:
Mtanzania[/SIZE];110315]Huyu Dr. Alikuwa anabugia rushwa sawa tu na akina Prof. Mahalu, Benjamini Mkapa walipokuwa pale wizara ya elimu ya juu miwaka ya 90.

Kwanza sikukatalii kama rushwa ni norm Tanzania lakini vile vile ni vizuri tukawa na mifano hai ku support hizi allegations. Je unaweza kutuletea hata dondoo za namna ambavyo Mahalu, Mkapa na Bilal walivyokula rushwa?

Bilali nashangaa anapiga kelele nyingi lakini kwa ufanisi wake pale wizarani sioni kama ningelikuwa mimi ningempatia hata ukatibu kata. Yeye arudi mlimani kufaundisha. Hana tofauti na akina Karume au huyo waziri kiongozi anayedhani kuwa MC kwenye sherehe ye Mkapa ni jambo la maana mpaka kuweka kwenye CV.

Hivi unaweza kuniambia ufanisi katika wizara unatokana na waziri au miundombiu wizarani? kwani ninavyojua mimi kama mechanism ya kupata ufanisi katika wizara kama ile imeoza unategemea waziri atafanya miracle gani?

Hebu tuwekane sawa katika hilo.

Nchi zetu ni masikini na lazima uelewe kuwa civil service yetu yote imeoza na hii naweza kukufahamisha kuwa inatokana na:

-colonial legacy

-mis administration

-kutokwepo kwa pesa toka Hazina/serikali kuu

-lack of focus

-lack of motivation

-ukubwa wa wizara na wafanyakazi kede kede ambao wengi hawatakiwi kuwepo pale at all

Sasa katika mazingira kama hayo ulitegemea Dr Bilal afanye maajabu gani?

CCM inatakiwa kubadilika na kuruhusu mawazo mapywa na vijana wapya ili kuleta radical changes kwenye yetu. Mimi naamini Hamad angelikuwa rais mzuri mno kwa Zanzibar kuliko hawa wezi wa kura.

Nakubaliana na wewe kuwa kuna umuhimu wa kuwapa vijana nafasi lakini je mawazo ya kuwapa vijana nafasi yanakubalika? nikupe mfano mdogo tuuu...tazama reaction ya ES watu tulipoanza kuquestion kwa nini AGOSTINO MAHIGA kawekewa kambi pale UN. Sasa kwanza lazima na sisi tuwe open minded na mambo ya kubadilika na kuquestion vitu na si kukubali tuu eti thats the way things are.
Tazama kimya chenu nilipotoa suggestion kuhusu NYIMBO YA TAIFA ilivyoka kibaguzi baguzi. Hivi MUNGU anafanya nini kwenye nyimbo ya Taifa ambalo latakiwa kuwa secular?

Humu JF kuna msema wa kumkata Nyani giladi...lakini waulize je, WAINGEREZA NA UBALOZI WAO WANAYOHAKI YA KUFANYA DATA MINING DAR? NA KAMA WANARUHUSIWA NI UNDER SHERIA ZIPI? NA WHERE DOES IT STOP? hakuna atakeyekujibu na kama ukijibiwa utaambiwa kuwa ni haki yao etc etc

Kuhusu MAALIM SEFU SHARRIF HAMAD naweza kukuhakikishia kuwa huyu mtu si thabiti kama unavyofikiria kwa sababu:

-Ni Flip Flop

-Ana tendencies za kitotalitarian

-Nina question sanity yake na haswa pale anapofanya press conference ya kudai mkondo wa mafuta ya Arabuni umepitia ZNZ

-Hana nia ya kuwaendeleza wa zanzibari kwa kuleta non issues kama bendera ya Zanzibar ubalozini kwetu Oman badala ya kuuliza kwanini mpaka leo hakuna bara bara za maana kule Wete

-Ni mbaguzi wa hali ya juu

-Hana interest za wazanzibari in his heart na hii ni kutokana na kitendo chake cha kwenda kumshitakia kwa Nyerere Mzee ABOUT JUMBE ambaye alikuwa anafanya mikakati ya kubadilisha Katiba ya ZNZ na kilochotokea siku ile kule Chimwaga kilimu affect kiafya mzee Jumbe mpaka leo. hivi unajua mzee jumbe ilikuwa akanyongwe kama hatojiuzulu urais?

Mkuu heshima mbele, ninakubaliana na wewe on this one.

sasa na wewe unakubali tuu bila kupewa ushahidi au hata mifano hai ya kusupport hiyo argument iliyotolewa na huyo unayekubaliana naye au ndio mambo ya kupenda catch phrases?

Bilal kumpeleka COSTECH sii sahihi- kwa umri wake- na tayari siasa zimeshamwaribu, atafutwe tu cnidate mwingine- hata CV ya mama Kingamkono- imekaa tu vizuri- na pia ni mama mwadilifu!

Hivi bado Tanzania tuna age discrimination? kama NSA bado wanamthamini iweje wewe leo useme umri wake mkubwa hafai kwenda pale COTECH?

Huyo Kingamkono anacha nini ambacho Bilal hana in terms of umri, experience na mengineyo?

Lete valid argument mzee

[COLOR="Red" said:
kingwendu;[/COLOR]110334]Mzee Game theory without a doubt unayo heshima yangu kwa data zako!!! Lakini naomba tuwekane sawa kuhusiana na huyo Mkuu Gordon Brown PM, infact huyo bwana si mchumi ila ni 'historian' pitia kule kwenye wikipedia utaona CV yake kwa ufupi, infact ana PHD ktk history, ila kwa mambo makubwa aliyoyafanya pale Treasury watu wengi wanadhani ni mchumi, hii sio sahihi.

Nakubaliana na wewe katika hili ni kweli GB alisomea History

Ila kitu kikubwa alichokifanya Mh. huyu wakati yupo pale treasury, alihakikisha anazungungukwa na 'vichwa' vikali ktk masuala ya uchumi, na hawa ndio waliokuwa 'brain' behind Gordon's sucess at the treasury. Inasemakana alikusanya vichwa toka pale 'London School of Economcs' na hawa ndio haswa waliokuwa wapishi wa mkate.

Sasa hapa naomba kutokubaliana na wewe kwani data zako katika hili ziko sketchy kwa sababu:

GB hakukusanya vichwa toka LSE na haraka haraka naweza kukupa:

ED BALLS waziri wa watoto: Huyu ni OXFORD na HARVARD alumi!

YVETTE COOPER: OXFORD & LSE

ED MILIBAND: OXFORD & LSE

IAN AUSTIN: UNIVERSITY OF ESSEX hapo COLCHESTER

JEREMY HEYWOOD UNIVERSITY OF ABERYSTHWITH kule wales

TOM SCHOLAR- WARWICK

DAN CORRY -HARVARD

JON CUNLIFFE-EDINBURGH/YALE

Andrew Burnham-CAMBRIDGE

DAMIAN McBRIDE-KINGS COLLEGE

SHRITI VADERA( sasa hivi anaitwa BARONESS SHRITI VADERA of Holland Park)

Sasa utaona kuwa katika hao Vichwa ni wachache sana wanatokea LSE na pili ujue kuwa wajanja wake GB pale treasury wanatoka kwenye hii pet think tank ya hawa na Neo-Liberals was Labour

http://www.smith-institute.org.uk/trustees.htm

Hapa Uingereza hata u-director nyeti kama ule wa DfID wanatangaza, lakini sisi hata uVC tunateuana. Huu uhuni lazima tuuache.
Kazi zote za serikali mzee in UK lazima zitangazwe kwenye Public domain hiyo ndiyop sheria ya nchi

PS: Nakumbuka executive directors wa benki nyingi za binafsi Dar ni a jamaa tuliyosoma nao mlimani na wanafanya mambo makubwa sana.

Wanafanya vizuri in what way? kwa sababu hata STAN O'NEAL alikuwa anafanya vizuri kule Merrill Lynch & Co na nadhani unajua yaliyomkuta alipotaka kufanya (1)uhuni(2)subprime mortgages zilipofikia poiling point kule states
Sasa hebu fafanua hao jamaa zako wa UD wanafanya mambo makubwa yepi bongo?

mtanzania na wenzako mnaodai Dr.Bilal mtu wa Rushwa mna ushahidi? wekeni hapa acheni FITNA NA MAJUNGU...file zipo zitamwagwa kilichokuwa kinafanyika pale ELIMU ya JUU....mnakijua..ila hamtaki watu wa kuwaambia UKWELI...nyie mmezoea kukaa na akina YES MAN...watu wanaochallenge hamuwataki...

na mimi nimemuuliza ushahidi au hata tuhuma za rushwa ni zipi?

Chuma,
Unataka ushahidi gani, unasema tungepiga video kumkamata akipokea rushwa?

Hakuna aliyeuliza video bali umeulizwa ni tuhuma zipi? je kuna kitu gani kilitokea ambacho kilichokufanya ukafikia conclusion kuwa kala rushwa?

Sipo kwenye majungu, suala la hawa waheshimiwa watatu mimi nimekuwa nikiliongea tokea miaka ya 90 kwenye vijiwe mbalimbali. Kuna jamaa zangu wazito serikalini walinibishia sana na kusema majungu hasa kuhusu Mahalu na Mkapa, nikawaambia mimi kwa mfano nilikuwa namheshimu sana prof. Mahalu toka tuko pale mlimani wakati huo ni dean lakini niliyekuja kumwona wizarani ni Mahalu mchafu tu.

bado hujaeleze ani mla rushwa kwa vipi? kwenye lipi na lini?

Uzuri wa dunia ni ni kwamba kama unasema ukweli time ndio mwamuzi. Mara Mahalu akachota huko Italy, jamaa wakasema kumbe Mtanzania ulikuwa unasema ukweli, jamaa kaamua kula bila hata kunawa?

Haikupita muda mambo ya Mkapa yakaanza kuanikwa nje nje.

Mkuu hao waheshimiwa nawafahamu vizuri mno maana ndio tulikuwa tunapita hapo kuja Ulaya, lakini pia kama viongozi wa wanafunzi, tumeshagongana nao mno. Ukweli ndio kama nilio uandika kama unataka ushahidi wa video sina.
bado tunasubiri huo ushahidi au maelezo zaidi hii statement yako bado iko vague

Kwa mtu anayejua yaliyokuwa yanaendelea pale elimu ya juu miaka ya 90 anaweza kuelewa wazi kwanini Mkapa hakumuunga mkono Bilal. Hao watu walikuwa hawaelewani maana Bilal alikuwa kila kitu kwa Mwinyi na kumwacha waziri Mkapa. Ni kipindi hicho ambacho urafiki wa Mkapa na prof. Mahalu ulianza, wote walikuwa na common enemy.

hapa unaelekea kidogo lakini haijakaa sawa hebu iweke sawa mfano Ben hakumuunga mkono Bilal kwenye lipi?

Hao akina Bilal ni kuwapotezea muda Wazanzibari tu, hakuna jipya analoweza kufanya maana hata pale elimu ya juu hakuwa na jipya. Nchi ina vijana wengi wasomi, tuwe tayari kuwaamini na kuwapa madaraka. Tunahitaji mabadiliko, hayo mabadiliko hayataletwa na watu kama akina Bilal maana hao ni sehemu ya tatizo.

mabadiliko yanahitajika lakini at the same time je sisi tuko tayari kwa hayo mabadiliko? Una ushahidi gani kuwa WZNZ watapotezewa muda na BILAL? hebu fafanua

Mtanzania,
hapo umeshusha vyote kabisa, kwa kuongezea t kwa niliyoyaona miaka ile huyu jamaa Bilali hatufai kabisa kwanza ana upendeleo wa wa wazi kwa wazanzibari bila hata aibu.. Hivi mtanzania hujawahi kuisikia ile story alivyompeleka ndugu yake kusoma Poland? kwa utaratibu tofauti ambao unatakiwa kufuatwa?
Hivi leo wewe uwe kwenye payrol ya NSA utashindwa kumsomesha mtu hapo Poland? hivi BILAL atakuwa hana credit ratings za kumtosheleza kupata loan au credit na mabenki makubwa duniani?
 
Kichuguu, ndio maana mimi nauliza tunachohitaji COSTECH kuweza kuibadili na kuwa a world class research and development institute ni mtu ambaye an accomplished scientist, a management guru, na mtu ambaye anaweza kuwa kama Dr. NO. Hatuwezi kuendelea hadi wanasayansi wetu waweze kuwa na uwezo wa kuthubutu kufanya vile visivyo vya kawaida.

The current paradigm that we are using in our science and technological research is no longer viable. We have to think outside the box.

Naamini mambo mawili yanawezekana kwa upande wa wanasayansi wenyewe:

a. We have to build a modern high security research Lab somewhere porini (Los Alamos ya kwetu) ambako wanasayansi wetu watajifungua huku na kucheza na mabeaker na burners! (It reminds me tulivyotaka kujiunguza kwenye darasa la Kemia.. )

b. Serikali itoe ofa ya wazi kwa Wanasayansi wa Kitanzania pote duniani kukusanya uwezo wao wa kiakili na utafiti kurudi nyumbani. Ofa hiyo it has to be a monetary suprise! An offer that they CAN NOT refuse!.. Nyumba, gari, posho, n.k to entice them to leave whatever they are currently doing. Na tuweke mkazo kwa wataalamu wa Electronics, Nuclear Physics, Computing Technology, etc etc.

c. Chuo Kikuu cha Mbeya na kile cha Arusha or a new one in Kigoma (I can't see that happening) ndiyo viwe vyuo vya majaribio na applications ya yale yanayofanywa na National R&D Lab. Hivyo wanaoingia kwenye vyuo hivyo have to be only and only Division 1 holders from High School! period. Na wanasoma bure!

d. Guarantee independence of this new research from politicians; na iwe kama taasisi inayojiongoza yenyewe and the government supervision should be minimal and mostly on the areas of Administration, Regulation and Finance.

Tatizo

Tatizo, tukiwa na kitu kama hicho, nani ataweza kuongoza? So far Prof. Neuro Surgeon has been a failure, na sasa Dr. Bilal inaonekana ni "hao hao". Should we ask our friends from China or Japan to help us out?
 
Chuma,
Unataka ushahidi gani, unasema tungepiga video kumkamata akipokea rushwa?

Sipo kwenye majungu, suala la hawa waheshimiwa watatu mimi nimekuwa nikiliongea tokea miaka ya 90 kwenye vijiwe mbalimbali. Kuna jamaa zangu wazito serikalini walinibishia sana na kusema majungu hasa kuhusu Mahalu na Mkapa, nikawaambia mimi kwa mfano nilikuwa namheshimu sana prof. Mahalu toka tuko pale mlimani wakati huo ni dean lakini niliyekuja kumwona wizarani ni Mahalu mchafu tu. Uzuri wa dunia ni ni kwamba kama unasema ukweli time ndio mwamuzi. Mara Mahalu akachota huko Italy, jamaa wakasema kumbe Mtanzania ulikuwa unasema ukweli, jamaa kaamua kula bila hata kunawa?

Haikupita muda mambo ya Mkapa yakaanza kuanikwa nje nje.

Mkuu hao waheshimiwa nawafahamu vizuri mno maana ndio tulikuwa tunapita hapo kuja Ulaya, lakini pia kama viongozi wa wanafunzi, tumeshagongana nao mno. Ukweli ndio kama nilio uandika kama unataka ushahidi wa video sina.

Kwa mtu anayejua yaliyokuwa yanaendelea pale elimu ya juu miaka ya 90 anaweza kuelewa wazi kwanini Mkapa hakumuunga mkono Bilal. Hao watu walikuwa hawaelewani maana Bilal alikuwa kila kitu kwa Mwinyi na kumwacha waziri Mkapa. Ni kipindi hicho ambacho urafiki wa Mkapa na prof. Mahalu ulianza, wote walikuwa na common enemy.

Hao akina Bilal ni kuwapotezea muda Wazanzibari tu, hakuna jipya analoweza kufanya maana hata pale elimu ya juu hakuwa na jipya. Nchi ina vijana wengi wasomi, tuwe tayari kuwaamini na kuwapa madaraka. Tunahitaji mabadiliko, hayo mabadiliko hayataletwa na watu kama akina Bilal maana hao ni sehemu ya tatizo.

M-tz.....

duh maneno makubwa hayo kamanda,manake jamaa nasikia hata zile skolaships za IDB za turkey alikuwa anataka zipite kwake.lakini waarabu walikuwa makini.

jamaa alizikalia sana skolaships za zanzibar,alikuwa anawapasia watu anaotaka yeye tu.
 
Namfahamu Bilal personally wakati akiwa pale UDSM. Ni kweli amesomea Nuclear Physics, lakini hata hivyo siyo mkali sana katika field yake kiasi cha kumweka kwenye world standard. Muda wote aliofundisha pale chuo kikuu cha Dar es salaam hakuweza kuandika paper 6 tu zilizotakiwa kumpandisha kuwa Associate Professor. Ingawa si vizuri kuwazungumza wenzetu vibaya, ukweli kuwa hata uongozi wake pale Elimu ya juu ulikuwa na mashaka ni kipimo tosha kuonyesha uwezo wake katika kukabiliana na mambo yanayomhusu (iwe physics au siasa).

Anaweza kuwa ni bora kuliko Karume katika siasa kwa kulinganisha two devils, lakini sidhani kama atatusaidia lolote kisayansi akipelekwa COSTECH.

Hivi umetumua criteria zipi kuwa mkali wa Nuclear Physics?

Hivi wale jamaa wa NSA ni wajinga sana basi kumwona kuwa ni mkali nao sijui wametumia vigezo vipi lakini i assume kuwa NSA watakuwa wana criteria zaidi mpaka walipofikia uamuzi huo

On the same subject kwani huyu mama Rihab Taha aliandika paper ngapi?
hoda_ammash3.jpg

Au huyu AQ Khan aliandika Paper ngapi?

_41186408_pak2_203crap.jpg
 
Kichuguu, ndio maana mimi nauliza tunachohitaji COSTECH kuweza kuibadili na kuwa a world class research and development institute ni mtu ambaye an accomplished scientist, a management guru, na mtu ambaye anaweza kuwa kama Dr. NO. Hatuwezi kuendelea hadi wanasayansi wetu waweze kuwa na uwezo wa kuthubutu kufanya vile visivyo vya kawaida.

The current paradigm that we are using in our science and technological research is no longer viable. We have to think outside the box.

Naamini mambo mawili yanawezekana kwa upande wa wanasayansi wenyewe:

a. We have to build a modern high security research Lab somewhere porini (Los Alamos ya kwetu) ambako wanasayansi wetu watajifungua huku na kucheza na mabeaker na burners! (It reminds me tulivyotaka kujiunguza kwenye darasa la Kemia.. )

b. Serikali itoe ofa ya wazi kwa Wanasayansi wa Kitanzania pote duniani kukusanya uwezo wao wa kiakili na utafiti kurudi nyumbani. Ofa hiyo it has to be a monetary suprise! An offer that they CAN NOT refuse!.. Nyumba, gari, posho, n.k to entice them to leave whatever they are currently doing. Na tuweke mkazo kwa wataalamu wa Electronics, Nuclear Physics, Computing Technology, etc etc.

c. Chuo Kikuu cha Mbeya na kile cha Arusha or a new one in Kigoma (I can't see that happening) ndiyo viwe vyuo vya majaribio na applications ya yale yanayofanywa na National R&D Lab. Hivyo wanaoingia kwenye vyuo hivyo have to be only and only Division 1 holders from High School! period. Na wanasoma bure!

d. Guarantee independence of this new research from politicians; na iwe kama taasisi inayojiongoza yenyewe and the government supervision should be minimal and mostly on the areas of Administration, Regulation and Finance.

Tatizo

Tatizo, tukiwa na kitu kama hicho, nani ataweza kuongoza? So far Prof. Neuro Surgeon has been a failure, na sasa Dr. Bilal inaonekana ni "hao hao". Should we ask our friends from China or Japan to help us out?

kama serikali inashindwa kuwalipia wananchi wake basic huduma kama maji safi, barabara, umeme nini kinachokufanya ukaamini kuwa wanayo interest na hiyo COSTECH?
 
Bottom line Nuclear Physics bongo kakosea njia.
 
kama serikali inashindwa kuwalipia wananchi wake basic huduma kama maji safi, barabara, umeme nini kinachokufanya ukaamini kuwa wanayo interest na hiyo COSTECH?

wamemtimua aliyekuwa kiongozi wa COSTECH... vinginevyo wangeamua kumuacha tu!
 
Sasa tunataka mtu aliye kwenye payroll (literary) ya NSA (or is it NASA?) aje kuwa rais, hiyo inaingia akilini kweli?
 
Kwa wale waliopitia Chuo kikuu cha Dar es Salaam, wakati Dr. M. Bilal akiwa katibu Mkuu wizara ya sayansi na technologia nina uhakika kuwa wanakumbuka kuwa huyu Bwana kwanza ni mwongea hovyo na hafai hafai kabisa.

Huyu jamaa nasikia kila siku alikuwa anasimama pale katikati ya barabara na kutoa majibu ambayo hata mtoto mdogo angemzomea tu.

Huyu jamaa alikuwa anazungumza tuuuu anazungumza tuu mpaka apandishwe kwenye sturi katikati ya barabara ndipo watu wapate mikopo yao.

Kwa experience hiyo na ubishi wake pamoja na kwamba jambo analolizungumzia siyo sahii nafikiri ndio maana hata wana CCM pamoja na kuwa huwa sipendelei kuwazungumzia ndio maana huwa wanamkandamiaza.

Kitila nafikiri unauzoefu na yule Ex VC (Mathayo Luhanga) aliyekuwa UDSM nasikia hata SIDA-SWEDen na mashirika mbalimbali, huwa wanamtumia katika maswala ya research. Kama anaweza kupewa kufanya transformation ya COSTECH hata mwaka mmoja anaweza kuifanya kwa ufanisi mkubwa sana.
 
Sasa tunataka mtu aliye kwenye payroll (literary) ya NSA (or is it NASA?) aje kuwa rais, hiyo inaingia akilini kweli?

why not? Inawezekana ikawa anafanaya consulatncy tuu

Huyu ni MPATHAN TENA KAZALIWA mazari shariff na kama balozi wa USA kule UN

Mbona msemajai wa JK inasemekana ni Mrundi na hajakanusha? sasa ndio itakuwa kuwa kwenye payrol ya NSA?

Jamaa wa kichagga aliyekuwa NASA na uraia wenyewe keshabadilisha

316536520_f36bbee5d0_o.jpg
 
Back
Top Bottom