Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,243
- 44,524
- Thread starter
- #81
sasa turudi kwenye swali, future ya COSTECH itakuwa mikononi mwa nani maana naona wote tunataka a perfect candidate..
Salamu mkuu. Nadhani hata tungempata Einstein au Newton bado hatoweza kufanya la maana COSTECH. Najua umuhimu wa kuwa na figure yenye CV nzuri ktk organization kama COSTECH, lakini nachelea kuamini kama msukumo uliopo, toka Serikalini hadi mashirika binafsi, unaweza kusaidi huyo mtarajiwa kuibadili COSTECH (kama kweli ndio lengo la kumtoa aliyekuwepo)....future ya COSTECH itakuwa mikononi mwa nani maana naona wote tunataka a perfect candidate.
sasa turudi kwenye swali, future ya COSTECH itakuwa mikononi mwa nani maana naona wote tunataka a perfect candidate..
The COSTECH ni useless body. Kazi ya kuuza na kutumika kwa technolojia nia jukumu la wajasiliamali siyo kazi ya serikali. Mimi nilitegemea COSTECH iwe kama NSF kutafuta taknoljia mpya na kuziweka hadharani kwa wananchi ili wajasiliamali wanaotaka wazitumie kuleta maendeleo.
COSTECH yetu kwa sasa hivi huwezi kuifananisha na National Labs za Marekani zilzo chini ya serikali lakini ziongongzwa na vyo kwa mfano Los Alamos ambayo iko chini ya Departement of Energy na University of New Mexico au JPL iliyo chini ya NASA na CALTEC.
...ningekubaliana nawe kama COSTECH ingekuwa na ukaribu na vyuo vya elimu ya juu nchini maana ni vigumu kutenganisha 'technology transfer' na 'researches' labda kama unataka ubabaishaji (kama ilivyo COSTECH ya sasa). Huwezi kuhamisha teknoloji toka 'area x' itumike 'area y' bila kufanya 'customization, which needs research' kujua kama teknolojia husika itafaa kwa mazingira ya 'area y' (...just among many examples)....Nijuavyo mimi hawako pale kufanya researches na badala yake wana manage technology transfer.
Linaweza kuwa suluhisho lakini Tz chuo kipi sasa, maana kila Dept./Faculty/College inataka kuwa Chuo kinachojitegemea kisa uVC na vyeo vingine (wakati wenzetu wanaunganisha vyuo vyao kuwa na nguvu ya pamoja ktk tafiti zao)....na kama nilivyosema hapo nyuma iunganishwe na mojawapo ya Chuo Kikuuu kama Los Alamos inavyofanya kazi na UCLA or something of that sort.
...ningekubaliana nawe kama COSTECH ingekuwa na ukaribu na vyuo vya elimu ya juu nchini maana ni vigumu kutenganisha 'technology transfer' na 'researches' labda kama unataka ubabaishaji (kama ilivyo COSTECH ya sasa). Huwezi kuhamisha teknoloji toka 'area x' itumike 'area y' bila kufanya 'customization, which needs research' kujua kama teknolojia husika itafaa kwa mazingira ya 'area y' (...just among many examples).
Bottom line Nuclear Physics bongo kakosea njia.
Kwa mazingira ya sasa Costech, Tirdo etc si sehemu za kutegemea kitu chochote cha maana interms of reaserch. Mazingira ya institutions hizi bado hayavutii na sidhani kama kuna lolote la maana linaendelea zaidi ya watu kwenda kuripoti asubuhi na kupiga mishemishe zao wakisubiri siku nyingine ionekane. Kuna hitajika mabadiliko makubwa ili tuweze kupata TofautiMzalendohalisi, je outside Tanzania, do we have any scientists working for some of world class research institutions ukiondoa wanaofundisha vyuoni? Ambao serikali yao ikiwa ofa ya kurudi nyumbani kuunda upya research industry watakubali? Nakumbuka jinsi Nigeria ilivyoweza kutengeneza wataalamu wake...
Kuna Chuo Kikuu cha Mbeya (zamani nadhani ilijulikana kama Mbeya Tech). Nadhani kitafaa sana... kuwa mahali ambapo wataalamu wetu wanajichimbia..
Kwa mazingira ya sasa Costech, Tirdo etc si sehemu za kutegemea kitu chochote cha maana interms of reaserch. Mazingira ya institutions hizi bado hayavutii na sidhani kama kuna lolote la maana linaendelea zaidi ya watu kwenda kuripoti asubuhi na kupiga mishemishe zao wakisubiri siku nyingine ionekane. Kuna hitajika mabadiliko makubwa ili tuweze kupata Tofauti