Dr. Bilal and the Future of COSTECH

Kuna Research Centres Tz zenye uwezo na mazingira mazuri Tz kama NIMR??? Basi wangepewa jukumu la COSTECH!

Hivi kweli mazingira ya NIMR kule Ocean Rd utalinganisha na COSTECH?? COSTECH ni choka mbaya!
 
JAFFAR MJASIRI (Daily News), 1st August 2009 @ 01:56, Total Comments: 0, Hits: 149

THE Second Open Forum on Agricultural Biotechnology (OFAB) Tanzania Chapter has called upon the government to speed up the release of at least one per cent of GDP funds to boost research activities in the country.

The Zonal Director at the Arusha-based Seliani Agricultural Research Institute and Banana Research Coordinator, Dr Ally Mbwana told the Forum on agriculture biotechnology that the achievements brought about by the tissue culture bananas provided enough proof that the research results were not shelved as people often claimed.

He said it was unfortunate that not so many people were informed about the results of the use of tissue culture technology for increased banana productivity which had since transformed the banana market in the country.

He cited several ‘success' stories from various regions in the country, even those in semi-arid conditions such as Singida and Dodoma, which he said were now able to boost their production of bananas through the technology, where banana production in the country has increased from nine to 60 tonnes per hectare.

He further said that currently at the Kenya border five lorries of banana were exported daily as opposed to the previous record of one lorry a week before the introduction of tissue culture technology.

Speaking at the same event, the Director General of the Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH), Dr Hassan Mshinda, said that the government was committed to helping R&D in the country – although it is still working out the modalities of releasing the one per cent of GDP funds.

He also noted that such funding would greatly transform research institutions into commercial entities, and facilitate wider ustilisation of their findings -- such as the ones on banana which have led to more varieties and introduce selected superior banana species with enhanced pest and disease resistance.

The Open Forum which was launched in May 2009 by Hon. Stephen Wasira (MP), Minister of Agriculture, Food Security and Cooperatives, aims at creating and raising awareness among all stakeholders on the potential benefits of biotechnology in the agricultural sector, while at the same time recognizing potential risks of biotechnology.

Tanzania like many countries in Africa is faced by a number of limitations to increased agricultural productivity, which include but not limited to the high cost of farm inputs, declining per capita land sizes, frequent droughts, lack of water resources, poor crop varieties and livestock breeds, diseases and numerous pests, poor livestock forage, low technological base, rural infrastructure and financial constraints- all contributing to food insecurity and poverty.
 
If there is a sound mind to lead Tanzania out of misery, Dr. Bilal sits on top of Mchungaji Deck of Cards!
 
This was a while ago:

2005-04-26 22:02:07
By The Guardian Election Watch Team

Current President of Zanzibar AMANI ABEID KARUME has his incumbency facing a big challenge, both from within and without. Within Chama Cha Mapinduzi, DR MOHAMMED GHARIB BILAL, soft spoken scientist turned politician claims that CCM has been losing its political constituency in the Isles.

The Guardian Election Watch Team examines the chances of the incumbent president passing the CCM's Special National Executive Committee (NEC) screen test, which is to be carried out today in Zanzibar.

Dr Bilal, a learned physics scientist, was once the Permanent Secretary in the Ministry of Science, Technology and Higher Education, before he was promoted to become the Isles Chief Minister in 1995 under Dr Salmin Amour's reign.

The re-emerging of Dr Bilal in this year?s race scheduled for October 30, rekindles people's moods experienced back in the 2000's general elections.

During the race, him and president Amani A. Karume contested intensely for the same post before the party's Congress proclaimed the incumbent president the winner.

Believed to be enjoying moral support from former President Dr Salmin, the scientist turned politician has been subjecting the current government to severe criticism.
Among others, Dr Bilal says the current leadership has failed to effectively coordinate the party and the government.

He says he has been forced to pick the nomination form for the post so as to heed an outcry from wananchi who are not satisfied with the way things are moving in the isles.

"The economy of the country is shrinking every passing day," he says.

Karume would finish his second term in 2010, should he win this year's election, which Dr Bilal has sought to cut short right at its elementary stage.

In his statement to the press, Dr Bilal, who is very precise when it comes to expressing himself, could not mince words on why he is challenging President Karume.

He categorically said that he has joined the race after discovering cracks in the ruling party, especially in Zanzibar.

He said the current leadership in the Isles has failed to deliver citing the case of mushrooming political parties as a manifestation of the ruling party's failure to perform better. He says this was evident that good governance was lacking.

He rejected claims that his decision to enter the race would divide CCM in the Isles into groups of those supporting him and those supporting the incumbent president.

"Let us be frank, there are a lot of governance irregularities that are clear in the current government that need new developmental vision," insists Dr Bilal in an interview with the press.

If he is endorsed by his party as candidate and later on succeeds to be elected president of the isles, he says, would put emphasis on economic recovery strategies.

He says, he will put more efforts on business, agriculture and fisheries sectors. "Those areas have now deteriorated because of poor governance," he adds.

According to him, Zanzibar has had a lot of development strategies, but researches that were conducted on those specific opportunities have not been utilised. This is totally an administrative error, he says.

I am confident that, I stand a better chance to bring about credible changes in the isles, he affirms.

For instance, Dr Bilal says, the Zanzibar Revolutionary Government has not yet prepared itself to compete in the globalised world, despite the fact that it has a policy on globalisation.

"There is an urgent need of beefing up the education sector so as to enable Zanzibar enter the competitive East Africa Community market and SADC," he says.

Dr Bilal says, the decline in the business sector's efficiency has resulted in the deterioration of the Zanzibar main port, prompting the decrease in money circulation.

The impact of this state of affair is the poor living standards being experienced by many people in the Isles, especially the low-income earners, he says.

For Dr Bilal, there is an urgent need to review the existing business policies so that they can fit into the rapidly changing global market.

Speaking on how the current government has handled the issue of good governance, he says the government has so far failed to impart the concept into the wananchi's mind

"It is so important to put more emphasis on the issue of good governance if we are to have an independent government which adheres to the legal basis of humanity and equality for all," he says.

"My intention is to put a strong basis that will rekindle the vigour and status of our party...to make it be viewed as a caring institution in the country," he observes.

He says, despite good idea of the current government to initiate a ministry responsible for good governance, the concept of good governance seems to be an alien concept among many people.

According to him, people have so far failed to utilise good governance concept to iron out their socio-cultural or political differences.

In order to get new ideas on how to rule the country, I will embark on a national-wide debate that will focus on how to improve the country's economy and politics in general.

I have decided to contest for the post after I have learnt that my party is slowly losing acceptability and support of people it used to enjoy before, he says, adding: "I assure the public?s view that I know how am I going to tilt this prevailing situation."

For him, CCM has lost the support it enjoyed before because the current leaders are not interested in meeting the party members at all levels.

"Our party is deteriorating in the Isles - this is an open secret," he says.

Dr Bilal who is also CCM's National Executive Committee (NEC) member remarks that, he could not assume what he is claiming now during the period when he was the Chief Minister because of the limited powers he had.
.

Like other aspirants, Dr Bilal says he will respect the outcomes of CCM's decision on who is to be the Isles' next president.

"I will neither hang myself nor cry since the outcomes will be democratic," he says.

Dr Mohamed Gharib Bilal is a nuclear physics specialist and a renowned academician.

Born in 1945, between 1995 and 2000 he was appointed Chief Minister of Zanzibar when Dr Salmin Amour was serving his second term as Isles president.

Prior to that, he was Permanent Secretary, Ministry of Science, Technology and Higher Education for a period of five years. Then President Benjamin Mkapa was heading the ministry.

A Physics doctor at the University of Dar es Salaam since 1983, he has written a number of publications and attended many international conferences, including Second College on Microprocessors; Technology and Applications and Physics in 1986; Conference on Perspectives in Computational Physics in 1987 and Adriatico Research Conference on High Temperature Superconductors in 1988.

He has done a number of miscellaneous researches in nuclear physics.

Dr Bilal, is definitely a man of great history in Tanzania. He is perhaps one of the few scientists in the country, who have decided to 'hang' all the nuclear physics equations in the lab and take politics as a career.

My Take:
Binafsi simjui sana Dr. Bilal na sijui sana amefanya nini kisayansi. Hata hivyo, kwa namna fulani naamini huyu bwana siyo mwanasiasa ni mtu anayetakiwa kufungiwa kwenye maabara na test tube, linear calipers, microscopes, Isotopes, culture tubes etc ili akitoka aje na kitu cha maana! So, badala ya kumuacha agombee urais wa Zanzibar why can't we put him in charge of COSTECH? Ssa hivi Dr. Bilal ni mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu kipya cha Dodoma
.

wewe ulieandika maneno haya unaonekana uko shallow na hujui kitu. hivi unaweza kunambia mwanasiasa ni nani na jee hao unaowatambua wewe kuwa ni wanasiasa wana sifa gani ambazo Dr. bilali hana na unaweza kutupa kanuni yeyote inayoyema kwamba mwanasayansi hawezi kuwa mwanasiasa? Nakupa mfano tu wa wanasiasa maarufu duniani ambao pia ni wanasayansi Benjamin Franklin, Angela Markel, Raila Odinga na wengineo. Wewe una dhana labda mwanasiasa lazima awe ni mtu wa porojo ugomvi na ubabaishaji kama walivyo hao unaowatambua wewe ni wanasiasa Zinduka usiwe mjinga mwanasiasa sio lazima uwende kusoma sayansi ya siasa au uwe umezaliwa ndani ya serikali
 
Like other aspirants, Dr Bilal says he will respect the outcomes of CCM's decision on who is to be the Isles' next president.

"I will neither hang myself nor cry since the outcomes will be democratic," he says.

Dr Mohamed Gharib Bilal is a nuclear physics specialist and a renowned academician.

Born in 1945, between 1995 and 2000 he was appointed Chief Minister of Zanzibar when Dr Salmin Amour was serving his second term as Isles president.

Prior to that, he was Permanent Secretary, Ministry of Science, Technology and Higher Education for a period of five years. Then President Benjamin Mkapa was heading the ministry.

A Physics doctor at the University of Dar es Salaam since 1983, he has written a number of publications and attended many international conferences, including Second College on Microprocessors; Technology and Applications and Physics in 1986; Conference on Perspectives in Computational Physics in 1987 and Adriatico Research Conference on High Temperature Superconductors in 1988.

He has done a number of miscellaneous researches in nuclear physics.

Dr Bilal, is definitely a man of great history in Tanzania. He is perhaps one of the few scientists in the country, who have decided to 'hang' all the nuclear physics equations in the lab and take politics as a career.

.

wewe ulieandika maneno haya unaonekana uko shallow na hujui kitu. hivi unaweza kunambia mwanasiasa ni nani na jee hao unaowatambua wewe kuwa ni wanasiasa wana sifa gani ambazo Dr. bilali hana na unaweza kutupa kanuni yeyote inayoyema kwamba mwanasayansi hawezi kuwa mwanasiasa? Nakupa mfano tu wa wanasiasa maarufu duniani ambao pia ni wanasayansi Benjamin Franklin, Angela Markel, Raila Odinga na wengineo. Wewe una dhana labda mwanasiasa lazima awe ni mtu wa porojo ugomvi na ubabaishaji kama walivyo hao unaowatambua wewe ni wanasiasa Zinduka usiwe mjinga mwanasiasa sio lazima uwende kusoma sayansi ya siasa au uwe umezaliwa ndani ya serikali

well said mpwa...nitakugongea later..
 
Kuna Research Centres Tz zenye uwezo na mazingira mazuri Tz kama NIMR??? Basi wangepewa jukumu la COSTECH!

Hivi kweli mazingira ya NIMR kule Ocean Rd utalinganisha na COSTECH?? COSTECH ni choka mbaya!

COSTECH iliharibiwa na yule profesa fake aliyeamua kujiita profesa kwa miaka yote hiyo. Lakini hata sasa hivi nasikia Hassan Mshinda ni Dr fake! CV yake haionyeshi kabisa kwamba alistahili kuwa Dr lakini somehow mfumo umempa uwanja sawa na jinsi yule mwenzake alivyopewa uwaziri wa afya. Wote wanatokea ifakara center na njia au wote ni matokeo ya upendeleo bila sababu.

Kuna kitu kinazungumzwa juu ya hawa watu jinsi walivyo na uhusiano na watawala. Wanapeana vyeo kwa njia zao.
 
Nyongeza,
Chini ya huyu wa sasa sidhani kama COSTECH pia itakwenda kokote maana huyu director ni bomu. Historia yake yaonekana ni kubebwa. Imeanzia kwa swedish Marcel Tanner.
 
Nyongeza,
Chini ya huyu wa sasa sidhani kama COSTECH pia itakwenda kokote maana huyu director ni bomu. Historia yake yaonekana ni kubebwa. Imeanzia kwa swedish Marcel Tanner.

Dr Marcel Tanner ni Mswisi anayenufaika sana na hiyo ifakara Centre utafikiri mali binafsi...yeye ndio ana cll the shots nanai awe na nani asiwe.....mkurugenzi wa sasa ni Dr Salim ABDULLAH.....pamoja na usomi jamaa mdini sana
 
Nyongeza, by Mchunguzi
Chini ya huyu wa sasa sidhani kama COSTECH pia itakwenda kokote maana huyu director ni bomu. Historia yake yaonekana ni kubebwa. Imeanzia kwa swedish Marcel Tanner.

Wacheni uongo na kudharau wenzenu. Professor fake ndiyo nani unazungumzia Prof Y. Kohi? Yule ni neurosurgeon wa kuaminika na wa kimataifa kama mtu hamumjui basi musizushe tu.

Dr. Mshinda naye amebebwa na nani, hivi kupewa udirector pale Ifakara kwani huyo Mswiss ni mjomba wake? Unadhani hao Waswiss watawapa tu watu uongozi hata kama hawawezi? Cv yake munaijua au munasema tu?

Of course watu wenye qualifications za kuongoza taasisi wako wengi kama utachukuwa nchi nzima, lakini ni lazima ateuliwe mmoja ili aongoze. Sasa wale waliobakia na hasa kama wamepata tetesi kwamba majina yao yamepelekwa Ikulu for vetting ndiyo roho zinawauma na kusema kwamba wenzao hawafai.
 
Binti, jaribu kunyoosha brain yako. Ukiona watu wazima tunatia shaka, jaribu kujiuliza.

Unajua maana ya profesa? Unasema Kohi ni wa kimataifa?!! Wapi huko?
Hebu tumia google kumtafuta Kohi... Siyo aibu!

Kohi alipata u-profesa wapi? Chuo gani unachofahamu kilimpa u-profesa? Akiwa neurosurgeon ndo awe profesa au tu unahusudu kazi yake ya surgeon! Kuna surgeon dunia hii ambao ni mashuhuri lakini siyo ma-profesa.

Kitendo chake cha kujiita profesa bila mamlaka yoyote ni ishara ya udhaifu wa barin yake.

Sasa hata Mshinda unamtetea! Wapi uliona researcher akapewa PhD bila first degree au equivalent, hata Masters. Unazijua qualification za Mshinda au hujui?

Tunayo historia ya mtu huyu na kwa faida ya ufahamu wako itafute. Anzia kwenye sababu ya Ifakara kuchuliwa na wa-Swiss toka NIMRI, nenda kwa huyo mshinda toka u-technician asiye na digrii hadi kurudi na PhD kwa kipindi usichopata hata diploma.

Ya ziada; tafuta faida ya ifakara kwa nchi hii na kama una uwezo jiulize Marcel Tanner ni mtu wa aina gani. Ukishafahamu yote hayo hutamtetea tena Mshinda. Mimi siwezi kumuita Dr, labda akubali ni kama ile ya Kikwete.
 
Dr Marcel Tanner ni Mswisi anayenufaika sana na hiyo ifakara Centre utafikiri mali binafsi...yeye ndio ana cll the shots nanai awe na nani asiwe.....mkurugenzi wa sasa ni Dr Salim ABDULLAH.....pamoja na usomi jamaa mdini sana

Yaap! Nasikia hata huyo Mshinda ndo zake. Kuna mbinu sasa inachezwa kuhakikisha huyo Salim anakuwa Mkurugenzi wa NIMRI. Yabidi NIMRI mujiandae maana ifakara bila kwenda msikitini hupati wadhifa na hiyo ilianzishwa na Mshinda. Subiri hapo COSTECH utayaona.
 
COSTECH iliharibiwa na yule profesa fake aliyeamua kujiita profesa kwa miaka yote hiyo. Lakini hata sasa hivi nasikia Hassan Mshinda ni Dr fake! CV yake haionyeshi kabisa kwamba alistahili kuwa Dr lakini somehow mfumo umempa uwanja sawa na jinsi yule mwenzake alivyopewa uwaziri wa afya. Wote wanatokea ifakara center na njia au wote ni matokeo ya upendeleo bila sababu.

Kuna kitu kinazungumzwa juu ya hawa watu jinsi walivyo na uhusiano na watawala. Wanapeana vyeo kwa njia zao.

Wapi tukimbilie ikiwa kwa wasomi nako mambo ni kama hivi?
 
Back
Top Bottom