PostGE2025 DPP awafutia kesi ya uhaini Niffer na Mika Chavala

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
844
Reaction score
1,608

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 3, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada wakili wa Serikali, Titus Aron kuileleza Mahakama hiyo kuwa DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya washtakiwa hao wawili.

DPP amewafutia kesi hiyo ya uchunguzi namba 26388/ 2025 chini ya kifungu namba 92(1) cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 20 ilivyofanya marejeo mwaka 2023.
images (4).jpg
Mahakama inakubaliana na ombi la upande wa Jamhuri kama lilivyowasilishwa, hivyo inawaachua huru washtakiwa hawa wawili," amesema Hakimu Lyamuya.​

=========== For English Audience ==============
The Director of Public Prosecutions (DPP) has withdrawn charges and released entrepreneur Jenifer Jovin (26), popularly known as Niffer who had been facing treason charges.

The decision was issued today, Wednesday, December 3, 2025 by Senior Resident Magistrate Aaron Lyamuya, after State Attorney Titus Aron informed the Court that the DPP no longer intends to proceed with the case against the accused. Niffer was among hundreds of young Tanzanians arrested and charged with treason in connection with the election unrest.

Read More:

Huzuni sana! Mama yake na Niffer aangua kilio baada ya mwanae kurudishwa mahabusu

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 3, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada wakili wa Serikali, Titus Aron kuileleza Mahakama hiyo kuwa DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya washtakiwa hao wawili.

DPP amewafutia kesi hiyo ya uchunguzi namba 26388/ 2025 chini ya kifungu namba 92(1) cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 20 ilivyofanya marejeo mwaka 2023.

Mahakama inakubaliana na ombi la upande wa Jamhuri kama lilivyowasilishwa, hivyo inawaachua huru washtakiwa hawa wawili," amesema Hakimu Lyamuya.
Thanks lord ila kwa niffer hapo walitaka kumpiga hela ndo maana waliaachia wote yeye wakaendelea kumshikilia
 
Sidhani, ila nahisi ni hasira na jazba ya muhusika juu ya video ile, ilivpisha akaona aachiwe tyuuh
 
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 3, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada wakili wa Serikali, Titus Aron kuileleza Mahakama hiyo kuwa DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya washtakiwa hao wawili.

DPP amewafutia kesi hiyo ya uchunguzi namba 26388/ 2025 chini ya kifungu namba 92(1) cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 20 ilivyofanya marejeo mwaka 2023.

Mahakama inakubaliana na ombi la upande wa Jamhuri kama lilivyowasilishwa, hivyo inawaachua huru washtakiwa hawa wawili," amesema Hakimu Lyamuya.
Hata ccm wenyewe wanashangaa haya yanayoendelea
 
Sidhani, ila nahisi ni hasira na jazba ya muhusika juu ya video ile, ilivpisha akaona aachiwe tyuuh
Video mbona walifanya wengi hao waendesha mashtaka walikuwa wanapima uwezo wa kifedha wakiona zipo waandanza kukuletea zengwe kukuachia ili uwape chochote kitu
 
Bas hatariiiii.
 
Back
Top Bottom