Ndugu zangu Watanzania,
Nilishasema sana Humu Jukwaani Popote Pale utakapoona Ushindi wa Jambo lolote lile katika Taifa letu nje ya Tanzania na kimataifa ama ndani ya Nchi yetu basi tambua ya Kuwa Kuna Mkono wa Rais Samia Nyuma ya Ushindi Huo.
Sasa Niffer Kwa Kinywa Chake Amemiminaaa Sifa...
Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili.
Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM.
Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29.
Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM?
Au kazi hii inaweza kumgharimu...
Niffer, baada ya ushindi wa Jihan ameto shukrani zake kwa serikali na Rais Samia kwa kuchangia pesa za kumpigia kura Jinan na kuongeza kuwa Ushindi wake usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali!
Nimeona watu wanakoment huko kwamba hawatamwelewa Jihan kama akifika airport...
Mfanyabiashara na (influencer) Niffer hivi karibuni amkataa shabiki aliyejichora tattoo yenye sura yake, huku akisisitiza kuwa hatatoa msaada wowote wa kifedha kisa tu mtu amejichora picha yake.
Tukio hilo limekuja kufuatia kusambaa kwa picha za shabiki huyo aliyetumia tattoo kama ishara ya...
Mtengeneza maudhui maarufu nchini, anayejulikana kama kiredio, amezua wasiwasi miongoni mwa mashabiki wake baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kuchapisha maudhui yoyote kwenye mitandao ya kijamii.
Hali hiyo imewafanya baadhi ya mashabiki kuonyesha kujali kwa kiwango cha juu, huku mmoja...
Jitihada za kibinadamu zimeleta matokeo makubwa baada ya mfanyabiashara na mshawishi wa mitandao ya kijamii, Niffer, kufanikisha ukusanyaji wa Shilingi milioni 111 kwa ajili ya matibabu ya mwanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Najath Ibrahim, anayesumbuliwa na tatizo la figo.
Najath...
Masaa sita yaliyo pita alijitokeza huyu binti akiomba msaada wa matibabu, Binti anaitwa Najath Ibrahim ana umri wa miaka 20 ni Mwanafunzi wa chuo Cha CBE.
Binti amepata changamoto ya Figo zake zote mbili zime Feli, na anahitajika apate milioni 40 Kwa ajili ya matibabu.
Kwa Sasa Kila wiki...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema wasanii na watu maarufu waliotikia wito wa kwenda kwenye kikao nae wamesamehewa makosa mbalimbali waliyokuwa nayo huku Jeniffer Jovin na Twalibu Bakari Anko T kutosamehewa kutokana na kutofika katika kikao hicho.
Katambi amesema hayo...
Mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu nchini, Jennifer Bilikwija ‘Niffer’, amewasha moto wa mjadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka wazi mtazamo wake kuhusu ushikaji na wanawake wenzake.
Niffer amebainisha kuwa ingawa anawapenda na kuwaheshimu wanawake, hana mpango wala uwezo wa...
Mwanadada mfanyabiashara na mjasiriamali maarufu tajiri nchini Jenifer Jovin maarufu Niffer kaacha rasmi kuvaa hijab.
Kwaanzia alipowekwa rumande hadi akaachiliwa alishika dini sana kwa kujitanda kichwa kwa ushungi na kupelekea hadi baadhi ya members jamvini kina Malaria 2 kumsifia kwa huo...
Ni habari njema. Mjasiriamali na social media maarafu wa kuuza vipodozi Niffer kaanza kuwa mweupe tena.
Watu walishaanza kukata tamaa alivyoanza kuwa mweusi alipokuwa mahabusu lakini faraja imewarudia kwa kuwa mweupe tena.
adriz de mbusii
Taarifa ya Niffer kukamatwa na kushtakiwa kesi ya uhaini niliifurahia.
Sikuwa upande wa watanzania waliokuwa wanampazia sauti atoke, hatimaye mawazo yangu nimethibitisha yalikuwa sahihi.
Huyu dada tangu atoke amekuwa mnafiki mnafiki sana na haswa aliwakera wananchi waliokuwa wanamuombea atoke...
Baada ya kuachiwa huru mapema Jumatano, kufuatia uamuzi wa DPP kufuta mashtaka yake, mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu Jenifer Jovin (26) “Niffer” amerejea kwa nguvu mpya na ujumbe mzito uliowagusa maelfu ya wafuasi wake.
Katika video aliyoipakia akiwa ndani ya msikiti, Niffer alionekana...
Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama.
Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na usalama.
Hii script ya CCM kusema raisi kawa na haki ni uwongo.
"Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya uhaini ilivyokuwa inamkabili.
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea...
The Director of Public Prosecutions (DPP) has withdrawn charges and released cosmetics entrepreneur Jenifer Jovin (26), popularly known as Niffer who had been facing treason charges.
The decision was issued today, Wednesday, December 3, 2025 by Senior Resident Magistrate Aaron Lyamuya, after...
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 3, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada wakili wa Serikali...
Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) na Mika Chavala @mikachavala ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini tayari wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza shauri linalowakabili.
Ikumbukwe tarehe 25, Novemba 2025 washtakiwa 20 kati ya 22...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.