King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,228
- 3,052
Kaachiwa jenzii mwenzenu so 9d hatutaki maandamano sawa!
Unamwambia nani sasa ?Kaachiwa jenzii mwenzenu so 9d hatutaki maandamano sawa!
Group gani zaidi ya ile clip?Nifa kila kiyu kilikua wazi wamemuacha tu group lake lilikua kichomi
Nakwambia ni shida, yaan hii nchi, mtu anajiamulia tu analotaka yeye hamna sheria wala nini, ni vile unakua upo kama na vitoto vyako, ukiamua unavizuia kula, ukiamua unavipa Chakula!Nchi ngumu sana hii.
Mtu anaamua tu,Leo Nina hasira wasweke ndani huyu na huyu,kesho anaamka anasema hasira zimeisha sasa dipipii wafutie kesi Hawa,ila huyu aendelee kukaa ndani muda wake Bado.
Michezo.
Mahakama imefanya nini?Safi sana Kongole kwa mahakama kwa kutenda haki
Bado kuna watu 1400 mahabusuThanks lord ila kwa niffer hapo walitaka kumpiga hela ndo maana waliaachia wote yeye wakaendelea kumshikilia
Haijataka kuwatia kitanzi kabla ya DPPMahakama imefanya nini?
AnayesomaUnamwambia nani sasa ?
MNO!Mika ni dhahabu nilikuwa simjui lakini kama nchi tuko na future nzuri kuwa na watu kama Mika
Kichomi aje?Nifa kila kiyu kilikua wazi wamemuacha tu group lake lilikua kichomi
Ngumu hiyo...!!! Hakuna cha upepo utapita!Wanataka wawatoe watu kwenye mjadala wa jana
Wale wameelekea Polisi, ndo maana wamepanda gari za Polisi na ulinzi wa PolisiNgumu hiyo...!!! Hakuna cha upepo utapita!
akaendelea na upuuzi
upande mbaya wa uovu.