much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,579
Huoni kwa mkoa wa mara walikuwa wanaomba laki tano hadi mallion?Bas hatariiiii.
Huoni kwa mkoa wa mara walikuwa wanaomba laki tano hadi mallion?Bas hatariiiii.
Akiomba hifadhi ya ukimbizi anapata chap.Kama anaweza .......ahame nchi
Hata siamin kama wana CCM wanashangaa yanayoendelea nchini Tanzania.Hata ccm wenyewe wanashangaa haya yanayoendelea
Umesikia lakini
Mbona haujaonewa wewe au mimi?Sawa, lakini sijaonesha utakataka. Hata huyo DPP hakatenda haki yoyote. hawa watu walionewa
Ahamishe biashara gani? Acheni kumjaza ujinga huyu binti.Pole kwake lakin ahame kabisa nchi hii ahamishe na hiashara zake, its not safe anymore
Akicheza karata zake vizuri anaweza kuja kuwa kiongozi mkubwa baadae endapo anapenda kuwa. Huyu binti ana mvuto kwenye umma. Tatizo alichagua upande mbaya wa uovu.Inatosha walichokipata kinaitwa handbrake ya kiherehere hadi watu wanatembea na tasbih kubwa kama imam wa baniani
Umeambiwa DPP hana nia ya kuendelea na kesi. Mahakama inaweza kumlazimisha aendelee?Safi sana Kongole kwa mahakama kwa kutenda haki
Hivi tu, mbona kila mtu angebadilikaUmesikia lakini