Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,437
- 4,227
Petition inapatikana wapi aisee sijaisainiTunahangaika na kitu fake,
Mkataba una mianya kibao kuuvunja.
Tukiwadhibiti tu waliyohongwa, kitu inavunjwa.
Asante, Adam kigoma Malima nawe kusaini petition.
Asante sana tai mwenye jicho Kali.