DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Unaunga vipi mkono mkataba usio na ukomo?
Ukomo upo haujapitia mkataba na Umedanganywa ujadanganyika. Kasone kifungu cha 5:4. Uje kusema umekutana na nini.

Hii ndiyo sababu ya kuuweka mkataba hapa, tusidanganyane.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Mama kama ni Msikivu wa Wananchi bora aitishe kura ya Ndio au hapana Inchi nzima halafu afanye Maamuzi.

Naona watu wengi hawautaki.
Wengi tunautaka na tayari kazi zimeanza bandarini.

Waarabu wa Dubai hawana kuchelewa chelewa. Kura yako ngoja 2025.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Kwahiyo kama kuna makosa ya kiutafsiri tuwalalamikie na kulumbana na Google!!
Huna haja ya kulalamika kwa yeyote, onesha kosa tutalifanyia editing. Rudia kunisoma.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Bibi mbona una hangaika sana yani mkataba wenyewe umeshindwa kujitetea hadi wewe una hangaika namna hii? Pole sana ni wazi huu mkataba una shida sana
Kufundisha ndiyo *passion" yangu, suhangaiki namwaga darsa hapa. Naona raha kweli kweli.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Sasa km watu wenyewe ni km wewe, mna tofauti gani na nyumbu wa Serengeti. Kuandika hata kwa kiswahili huwezi ndio uelewe mkataba tena wa kimataifa? ni ngume sana, we baki kuiamini serikali yako na watalaamu wake. Shule siyo rahisi ndio maana wengi waliishia njiani
Andika wewe unaeweza, kinakushinda nini?

Nakushangaa unachangia uzi wa nyumbu. Ukichangia uzi wa nyumbu na wewe unakuwa nani?

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Back
Top Bottom