Wewe unakuwa muongo sasa na ninachukia sana uongo. Did you ask me to show where does the law allows? uongo kabisa huu. I challenged you guys to mention the section of the law banning used equips. You failed. I did show you its regulations and even mentioned the regulation. Ngereja came up to elaborate and quote the regulation. Kwa nini huwi mstaarabu kukubali uliposhindwa.
Eti umeambiwa na watu wa Idara. Idara gani hiyo iliyooza na kuruhusu ufisadi wote huu nchini. Idara gani hiyo ilishindwa kuzuia hiyo kampuni ya Richmond kupata mkataba ule. Idara gani hiyo iliyoruhusu fedha za EPA kuibiwa na kutumiwa na CCM kwenye uchaguzi? Idara gani hiyo iliyoshindwa kuzuia wizi wa MEREMETA na kumdnganya PM kuwa ni pesa za usalama wa taifa?
Kumbe ulikuwa unaambiwa na watu wa Idara ndio maana ulikuwa kama kasuku tu na kushindwa kujibu hoja zangu na badala yake unanitisha unadhain natishika. I am a man of facts and i succumb to facts. Sishindani.
Ama kweli nyani haoni kundule; ikirudiwa kusomwa hii thread, post by post kuanzia jana, kuna mtu atajijua muongo, anatetea ufisadi na element za kifisadi. Tena aliconfess kuspin.
Mjadala umemaliza wewe bana, mla nchi, unayejua sahihi na genuine.