Dowans: Another Richmond in making?

Dowans: Another Richmond in making?

Kuhani nimesema hitimisho langu ni lile la kamati ya Bunge kwamba TANESCO wawezeshwe kununua mitambo. Sijasema TANESCO wanunue au wasinunue mitambo ya DOWANS. Hii sio kazi ya kamati. Mitambo gani wananunua na kutoka wapi ni kazi ya TANESCO wenyewe. Hili nimeliweka wazi kabisa katika michango yangu humu (unspinned, niliyoandika mwenyewe) ndani na pia katika barua ambayo nimeandika kwa Waziri wa Nishati na Madini. Kuhani, nipo very clear na judgement za watu humu nazichukua kama changamoto. As i said, humu JF sishindani, ninajifunza.

Msimamo wangu ni msimamo wa kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma.

Zitto taratibu tutakubaliana tuu.

NAOMBA NIULIZE:

1. Dowans ni kampuni ya nani?

2. Je tukiamua kuilipia hii mitambo hizo fedha zote, incase of anything ni nani anatupa guarantee? Who are the real owners wa Richmond? maana tunaweza hata tukawatafuta au tukatembelea ofisi zao sisi kama walipa kodi tujiridhishe (after all KLH News can do this very well). Mwakyembe si alienda kuutafuta ukweli bwana huko USA ndo tukajua kwamba Richmond ni kampuni hewa? SASA WHO IS DOWNS????

3. Na je tangu tumekuwa na shida ya umeme, serikali imefanya juhudi gani kuhakikisha kwamba hatutafanya maamuzi ya ghafla (kama yale ya Lowasa)kufanya manunuzi hewa ya hela nyingi?

4. Na mwisho, nyinyi kama Kamati mna msimamo gani na hii KAMPUNI YA Dowans?

Hilo la sheria ngoja tulifanyie utafiti.
 
Haya mapya haya, inahusu nini Dowans ni company ya nani? Muhimu mitambo inayotaka kununuliwa inakidhi viwango vya uzalishaji umeme au haikidhi? Kama inakidhi na itasaidia kutatuwa matatizo ya umeme kwa kiwango fulani, kwa nini isinunuliwe? Na kama haiwezekani kununuliwa basi wapewe kibali cha kufuwa umeme na wauze huo umeme aidha kwa Tanesco au moja kwa moja kwa watumiaji.

Kuna tatizo gani hapo?
 
kwanza kabisa onus ya kuprove kwamba PPRA inaruhusu kununua mitambo chakavu ni ya kwako, wataalamu wa sheria wamesema kuwa PPRA 2004 hairuhusu kununua mitambo chakavu. Sasa wewe ndio utuambie kuwa PPRA inaruhusu kununua mitambo chakavu na vipengele vyake. Na pse usiongee mambo ya WAIVER maana hili waiver itoke kuna mengi ambayo ni nje ya scope ya hii issue.

Sasa wewe unataka kujustify kununua mitambo ya Dowans mpaka unaanza kuikemea PPRA ambayo imetungwa na BUNGE kwa ajili ya kutuokoa, ama kweli ishi uone. Sisi huku N AMerica ukisikia watu wanasema sijui natumia constitution right yangu kutojibu maswali, huwa tunaconclude kuna walakini, na ukisikia wanasheria wanaingizwa kwenye mambo yanayohusu maslahi ya nchi ujue tayari kunawalakini, na hapa ni hivyo hivyo.

Sisi tunapongangania mitambo mipya, issue yetu kubwa ni kudeal na source companies moja kwa moja ili kwa miak 20 ijayo tusiwe na wasiwasi na mitambo. Mkuu ukuona mtambo wa SONGAS ulipoharibika, hata hawakuwa na pressure wataalamu wa GE wenyewe walifly in kwa gharama zao na kurekebisha mambo?? Sasa ukinunua uozo wa Dowans halafu ukaharibika, itakuwa vipi mkuu????

Ndugu yangu, mimi siwezi kujustify mitambo ya DOWANS inunuliwe. I can not do that. Sina mamlaka hayo na sina motivation ya kufanya hivyo. I am bringing sense into you my friend. Sheria ya Manunuzi ya Umma ya mwaka 2004 iliyotungwa na Bunge haikatazi kununua vifaa vilivyotumika. It was a spin to serve a certain purpose na sote tukawa tunanukuu bila kutaja ni kipengele kipi cha sheria. Kwa nini wabunge wadanganye Umma ili kujenga hoja yao? Huu ni mjadala mpya kabisa.

Kanuni za manunuzi zinazotungwa na Waziri kwa govt gazzette ndizo zinaelekeza kuwa 'pale inapowezekana, vifaa vinavyonunuliwa viwe vipya'

Kamati ya Nishati na Madini overstepped its mandate and thats why POAC asked for a joint meeting. Joint meeting isnt forthcoming and we wrote to advise the minister to support TANESCO acquire turbines (not necessarily those of DOWANS)
 
Haya mapya haya, inahusu nini Dowans ni company ya nani? Muhimu mitambo inayotaka kununuliwa inakidhi viwango vya uzalishaji umeme au haikidhi? Kama inakidhi na itasaidia kutatuwa matatizo ya umeme kwa kiwango fulani, kwa nini isinunuliwe? Na kama haiwezekani kununuliwa basi wapewe kibali cha kufuwa umeme na wauze huo umeme aidha kwa Tanesco au moja kwa moja kwa watumiaji.

Kuna tatizo gani hapo?

This is a most stupid comments i have ever heard.... Inahusu nini Dowans ni company ya nani?
 
Ndugu yangu, mimi siwezi kujustify mitambo ya DOWANS inunuliwe. I can not do that. Sina mamlaka hayo na sina motivation ya kufanya hivyo. I am bringing sense into you my friend. Sheria ya Manunuzi ya Umma ya mwaka 2004 iliyotungwa na Bunge haikatazi kununua vifaa vilivyotumika. It was a spin to serve a certain purpose na sote tukawa tunanukuu bila kutaja ni kipengele kipi cha sheria. Kwa nini wabunge wadanganye Umma ili kujenga hoja yao? Huu ni mjadala mpya kabisa.

Kanuni za manunuzi zinazotungwa na Waziri kwa govt gazzette ndizo zinaelekeza kuwa 'pale inapowezekana, vifaa vinavyonunuliwa viwe vipya'

Kamati ya Nishati na Madini overstepped its mandate and thats why POAC asked for a joint meeting. Joint meeting isnt forthcoming and we wrote to advise the minister to support TANESCO acquire turbines (not necessarily those of DOWANS)

Mkuu si nilishakwambia kuwa Ofisi ya Spika itakuachia wewe hili suala?? Usitegemee joint meeting na kamati ya kina Shelukindo wale wameshatutetea sisi wananchi na wanajua wanachofanya. Wewe kama mwenyekiti umeshaandika kwa Ngeleja msimamo wako, sasa Tanesco wakishanunua mitambo ya Dowans, itakuwa kwa asilimia kubwa sababu ya barua yako na sisi wananchi wa Tanzania tutakuwa tunajua aliyesababisha mitambo ya Dowans kununuliwa.

Kama Mh. mbunge of course umeoverstep boundary yako na sisi wananchi tunaokuwish mema tumejaribu kukushawishi lakini umekalia msimamo wako, kwa hiyo mkuu I hope utakuwa tayari huko mbeleni kwa yote.

Wewe huna power za kuzuia au kununua mitambo, lakini itakavyokuwa spin hii issue mzee utabeba TOTAL RESPONSIBILITY kwenye hili, na this is why sisi tumechukizwa kwa sababu unaua nguvu zetu for nothing. Yaani unbelievable mkuu, lakini obvious wewe ni mheshimiwa na sisi ni wananchi tu, so tumuombe mungu tu. Mitambo ya Dowans kununuliwa ni asilimia ndogo, lakini kwenye hili mitambo inunuliwe/isinunuliwe wewe umeshaondoka kwenye mioyo yetu kwa sababu ya kitu ambacho bado hatujaelewa. Yaani political price ni kubwa mno, na mara nyingi wanasiasa wanatumia Political Capital kwenye suala lenye manufaa mno kwao, Kwa mfano kama hizo generator za dowans zingekuwa zinaenda jimboni mwako na only generator za dowans ningeelewa kabisa, lakini sasa hapa kwa Dowans na Tanesco hayo manufaa ya kujustify hii Political price kwako binafsi tunashindwa kuelewa.

All in All Mh.Zitto I give my sincerely thanks to U for what U did for our country in the past. U was a Beacon of hope and since U are in my age group, U was also a source of pride as a young man fighting for his country. ( was imetumika badala ya were). Wishing U all the best in the future.
 
Ha,ha,haa...
Naona hoja imebadilika sasa na kuwa eti kamati inataka inunuliwe mitambo tu regardless ni ya dowans au la!Dont mess wit the politicians!!!Zitto,unakumbuka jana ulimwambia mama asikuwekee maneno mdomoni mwako kisha akaquote maneno yako??Usitufanye hamnazo hapa kwa kuja na spins zako,ushaona msimamo wako juu ya dowans unakubackfire ndo unakuja na maneno kuwa mlpendekeza mitambo yeyote!!!Tumewaona wengi tu wakitaka kuhalalisha 'uovu' wao kwa kisingizio cha nia njema na maslahi ya taifa.C wa kwanza wewe...Angalia utaipoteza CHADEMA ktk ramani!
 
Kuna yeyote hapa aliyeona hiyo conclusion ya muheshimiwa?? Maana mimi najaribu kumuomba lakini naona kimya.....akiiposti hapa itamsaidia sana kujibu baadhi ya maswali ambayo yanavurumishwa kwake hivi sasa.
 
Kamati ya Nishati na Madini overstepped its mandate and thats why POAC asked for a joint meeting. Joint meeting isnt forthcoming and we wrote to advise the minister to support TANESCO acquire turbines (not necessarily those of DOWANS)

Kwa hiyo Shelukindo ameoverstep mandate yao kwa negative advise kuhusu dowans, kwa hiyo wewe umeweka positive advise baada ya shelukindo kukataa kumeet na wewe. Sasa unataka kusema hiyo positive advise haihusu Dowans, ulitaka kukutana na Shelukindo wa nini wakati yeye negative yake ilikuwa ya Dowans tu??? Kama kamati ya Nishati na Madini ili overstep mandate yao, na kamati yako kwa kusupport purchase za dowans generators, mmeunderstep mandate au na nyie mmeoverstep, au nyie mmestep tu???

Zitto umeandika barua kwa Waziri asupport kununua mitambo ya dowans, ulisumbuka hata kukutana na bodi ya Tanesco exclusively bila management ya Tanesco??? Ulisikiliza hata counsel ya wabunge wengine?? Ulikutana na Shelukindo hata privately?? Mwakyembe je?? Seleli?? Au ulikurupuka tu baada ya kukutana na representative wa Rostam ( acting as Tanesco MD) ????
 
Kama nimesikia vizuri katika taarifa ya habari leo, imeamuliwa katika mkutano na wataalam wa wizara ya nishati na madini walipokutana na Rais Ikulu, pamoja na mambo mengine kuwa Tanesco waendelee na juhudi zao za kuongeza uwezo wao wa kuzalisha umeme na taratibu za manunuzi zisiwe kikwazo katika juhudi zao hizo.

Ukiunganisha maamuzi haya na kauli ya Ngeleja katika mahojiano na Mwanakijiji naona mpira umekwisha. Tungoje tu utekelezaji..
 
Mwanakijiji,

Unasema unamtetea Zitto japo hukubaliani na mahitimisho yake.

Naomba kukuuliza swali:

Zitto kahitimisha pendekezo kwamba mitambo ya Dowans ni sawa inunuliwe. Wewe hitimisho lako ni nini?

mahitimisho ya Zitto ni yapi? ukiyapata basi ujue sikubaliani nayo! Hicho nisichokubaliana nacho ndiyo msingi wa mahitimisho yangu. Ukitaka kuyajua usikose "Cheche" kesho!
 
Kama nimesikia vizuri katika taarifa ya habari leo, imeamuliwa katika mkutano na wataalam wa wizara ya nishati na madini walipokutana na Rais Ikulu, pamoja na mambo mengine kuwa Tanesco waendelee na juhudi zao za kuongeza uwezo wao wa kuzalisha umeme na taratibu za manunuzi zisiwe kikwazo katika juhudi zao hizo.

Ukiunganisha maamuzi haya na kauli ya Ngeleja katika mahojiano na Mwanakijiji naona mpira umekwisha. Tungoje tu utekelezaji..

Hili jambo liko dhahiri.... Kikwete ndie nguvu iliyo nyuma ya hili saga... Na wala sikutegemea angeweza kusimamisha haya manunuzi. Alishawapa go-ahead siku nyingi... kinachofanyika sasa hivi ni maigizo tuuu...
 
This is a most stupid comments i have ever heard.... Inahusu nini Dowans ni company ya nani?

Stupidity is a virtue, why do you have to know who owns Dowans? I think you are being stupid by asking such a question, simply go to BRELA and retrieve what-ever registration information you want on companies. How will that help you in obtaining the much needed electricity? Dowans or no Dowans, electricity generators have to be bought. If you can get them at a good deal from Dowans, why not?
 
Tatizo langu ni uswahiba uliopo baina ya Zitto na huyo anayesadikiwa kuwa mmiliki Richmond na baadaye Dowans -- Rostam. Ingawa uswahiba huo haupo bayana lakini upo na anaewaunganisha hao wawili ni mhariri mkuu wa media house yake -- Habari Corporation, ambaye pia ni swahiba mkubwa wa Rostam. Kama siku 10 zilizopita Zitto alifika katika ofisi za habari ya media house hiyo mtaa wa Shekilango -- Sinza majira ya jioni na kuongea faragha na mhariri huyo kwa masaa zaidi ya mawili -- ofisini mwake, na baadaye alipopaki shangingi lake. Walikuwa wanaongea nini? Siku chache baada tu ya mkutano huo, ndiyo tukasmsikia Zitto kawa kipofu na kuanza kutetea ununuzi wa mitambo michakavu na ya kifisadi ya Dowans.
 
Ndugu yangu, mimi siwezi kujustify mitambo ya DOWANS inunuliwe. I can not do that. Sina mamlaka hayo na sina motivation ya kufanya hivyo. I am bringing sense into you my friend. Sheria ya Manunuzi ya Umma ya mwaka 2004 iliyotungwa na Bunge haikatazi kununua vifaa vilivyotumika. It was a spin to serve a certain purpose na sote tukawa tunanukuu bila kutaja ni kipengele kipi cha sheria. Kwa nini wabunge wadanganye Umma ili kujenga hoja yao? Huu ni mjadala mpya kabisa.

Kanuni za manunuzi zinazotungwa na Waziri kwa govt gazzette ndizo zinaelekeza kuwa 'pale inapowezekana, vifaa vinavyonunuliwa viwe vipya'

Kamati ya Nishati na Madini overstepped its mandate and thats why POAC asked for a joint meeting. Joint meeting isnt forthcoming and we wrote to advise the minister to support TANESCO acquire turbines (not necessarily those of DOWANS)

Sheria ya manunuzi ya mwaka 2004 husomwa pamoja na kanuni zake, hii ina maana GN. No. 97 (THE PUBLIC PROCUREMENT (GOODS, WORKS,NON-CONSULTANT SERVICES AND DISPOSAL OF PUBLIC ASSETS BY TENDER) REGULATIONS, 2005; ni sehemu ya sheria hiyo kwa kuwa zimetengenezwa chini ya sheria husika na kutangazwa katika gazeti la serikali.

Kwenye kanuni hiyo hapo juu sehemu ya IV kifungu cha 58 (1)-(6), nina vinukuu hapa chini:

"58.-(1) For the purposes of these Regulations, "motor vehicles and heavy plant" include both fixed and movable plant such as engines, boilers, lories, motor cars, motor cycles,
tractors, road rollers, motor graders, etc.

(2) The ministry responsible for matters related to electrical, machinery and mechanical engineering shall prepare detailed and acceptable schedule of requirements and specifications which shall be made available to the Authority for use by the procuring entities when procuring for such items.

(3) Motor vehicles, heavy plant and spare parts to be purchased shall be brand new

(4) The Secretary to the Cabinet may, on the direction of the Cabinet and on the advise of the ministry responsible for matters related to electrical, machinery and mechanical engineering, determine the type, make and size of motor vehicles or other motorised equipment to be procured for official use of specified state officials or other senior government officer. After that determination, the Secretary to the Cabinet shall issue a circular specifying the type, make or
size of the preferred vehicles for that purpose.

(5) The preferred motor vehicles or other motorised equipment as determined under sub-regulation (4) of this Regulation, shall be procured either directly from the manufacturer of the said motor vehicles or through competitive quotations from reputable authorised local and international
suppliers or dealers of the specified vehicles.
(6) The procurement shall require the prior written approval of the tender board."

Kwa mujibu wa kifungu cha (3), kwenye kanuni hii, hakuna suala la "pale inapowezekana". Ila ni lazima mitambo na mashine viwe mpya (Motor vehicles, heavy plant and spare parts to be
purchased shall be brand new
)

Neno "Shall' linapotumika kwenye sheria, linaweka msisitizo kuwa ni lazima, na sio vinginevyo.

Well, tuendelee kujadili.
 
Sheria ya manunuzi ya mwaka 2004 husomwa pamoja na kanuni zake, hii ina maana GN. No. 97 (THE PUBLIC PROCUREMENT (GOODS, WORKS,NON-CONSULTANT SERVICES AND DISPOSAL OF PUBLIC ASSETS BY TENDER) REGULATIONS, 2005; ni sehemu ya sheria hiyo kwa kuwa zimetengenezwa chini ya sheria husika na kutangazwa katika gazeti la serikali.

Kwenye kanuni hiyo hapo juu sehemu ya IV kifungu cha 58 (1)-(6), nina vinukuu hapa chini:

"58.-(1) For the purposes of these Regulations, “motor vehicles and heavy plant” include both fixed and movable plant such as engines, boilers, lories, motor cars, motor cycles,

Sasa hapa ndipo pale panapoitwa katika methali "patamu"
 
Kwa hiyo Shelukindo ameoverstep mandate yao kwa negative advise kuhusu dowans, kwa hiyo wewe umeweka positive advise baada ya shelukindo kukataa kumeet na wewe. Sasa unataka kusema hiyo positive advise haihusu Dowans, ulitaka kukutana na Shelukindo wa nini wakati yeye negative yake ilikuwa ya Dowans tu??? Kama kamati ya Nishati na Madini ili overstep mandate yao, na kamati yako kwa kusupport purchase za dowans generators, mmeunderstep mandate au na nyie mmeoverstep, au nyie mmestep tu???

Zitto umeandika barua kwa Waziri asupport kununua mitambo ya dowans, ulisumbuka hata kukutana na bodi ya Tanesco exclusively bila management ya Tanesco??? Ulisikiliza hata counsel ya wabunge wengine?? Ulikutana na Shelukindo hata privately?? Mwakyembe je?? Seleli?? Au ulikurupuka tu baada ya kukutana na representative wa Rostam ( acting as Tanesco MD) ????

Hapana sijaandika barua kwa Waziri ili asupport kununua mitambo ya Dowans. Sina mamlaka ya kuingilia manunuzi ya Shirika. Shirika linapokuja kwenye Kamati yetu huwa linakuja na Bodi, ikiwakilishwa na Mwenyekiti wao wa Bodi.

Nilizungumza na Shelukindo. Nilizungumza na Mwambalaswa. Sikumpata Mwakyembe kwani huwa hapatikani kwa urahisi kwa simu na alikuwa Kahama na Mengi. Seleli sikumtafuta maana asuingeweza kusaidia. Stella Manyanya nilimtafuta.

I am always like that napokutana na suala tete. Ndio maana hata Kamati nilipoona ina sway kwa TANESCO nikasema hapana, hatuwezi kupingana na Kamati ya Nishati na Madini. Nikaatoa hoja ndani ya Kamati kwamba Kamati 2 zikutane. Wenzangu hawakutaka kukutana na kuanza kulobby kwa spika asikubali kukutana. Wakaanza kujibu kupitia press. Sikuwa na cha kufanya bali kundika barua kwa Waziri kutoa maoni ya kamati kwa majibu wa kanuni za Bunge.

I tried my level best and all documented. JF ninavyoijua itapata tu hizo documents. Walionihukumu wataona aibu tu! I am genuine, i am honest and as always i sub-ordinate my interests to those of the nation. Sijakurupuka. Wazee wanaogopa kuwa challenged na vijana.

Umesoma NIpashe la Leo? Bodi ya TANESCO ilitaka walipiwe wabunge 2 kwenda Texas kununua mitambo. Tumefikia hapo? Eti Shirika lilipie wabunge wa kamati ya Nishati na Madini, tena wawili kwenda kununua mitambo ya kuzalisha umeme. Ndio Tanzania mnayoitaka hiyo. Hata iwe miaka 1000 ukweli utadhihiri tu na tutapig mstari na kusema maslahi ya Taifa yalikuwa wapi katika hili.
 
Sheria ya manunuzi ya mwaka 2004 husomwa pamoja na kanuni zake, hii ina maana GN. No. 97 (THE PUBLIC PROCUREMENT (GOODS, WORKS,NON-CONSULTANT SERVICES AND DISPOSAL OF PUBLIC ASSETS BY TENDER) REGULATIONS, 2005; ni sehemu ya sheria hiyo kwa kuwa zimetengenezwa chini ya sheria husika na kutangazwa katika gazeti la serikali.

Kwenye kanuni hiyo hapo juu sehemu ya IV kifungu cha 58 (1)-(6), nina vinukuu hapa chini:

"58.-(1) For the purposes of these Regulations, “motor vehicles and heavy plant” include both fixed and movable plant such as engines, boilers, lories, motor cars, motor cycles,
tractors, road rollers, motor graders, etc.

(2) The ministry responsible for matters related to electrical, machinery and mechanical engineering shall prepare detailed and acceptable schedule of requirements and specifications which shall be made available to the Authority for use by the procuring entities when procuring for such items.

(3) Motor vehicles, heavy plant and spare parts to be purchased shall be brand new

(4) The Secretary to the Cabinet may, on the direction of the Cabinet and on the advise of the ministry responsible for matters related to electrical, machinery and mechanical engineering, determine the type, make and size of motor vehicles or other motorised equipment to be procured for official use of specified state officials or other senior government officer. After that determination, the Secretary to the Cabinet shall issue a circular specifying the type, make or
size of the preferred vehicles for that purpose.

(5) The preferred motor vehicles or other motorised equipment as determined under sub-regulation (4) of this Regulation, shall be procured either directly from the manufacturer of the said motor vehicles or through competitive quotations from reputable authorised local and international
suppliers or dealers of the specified vehicles.
(6) The procurement shall require the prior written approval of the tender board."

Kwa mujibu wa kifungu cha (3), kwenye kanuni hii, hakuna suala la "pale inapowezekana". Ila ni lazima mitambo na mashine viwe mpya (Motor vehicles, heavy plant and spare parts to be
purchased shall be brand new
)

Neno "Shall' linapotumika kwenye sheria, linaweka msisitizo kuwa ni lazima, na sio vinginevyo.

Well, tuendelee kujadili.

KANUNI na sio sheria.
 
KANUNI na sio sheria.

Mbunge Kijana, mtaalamu anamaanisha kuwa 'kanuni' hiyo ni sehemu ya 'sheria' ndio maana kanuni za aina hiyo zinatungwa - na kusomwa - chini ya sheria husika. Mkuu usijaribu kutumia fursa hii kushusha hadhi kazi ya Kamati Teule ya Bunge ya Kuchunguza Utoaji wa Zabuni kwa Richmond (na pacha wake Dowans) na kusafisha wasifu wa aliyekuwa Waziri Mkubwa na aliyetajwa kuwa Swahiba wake. Kaka weka nguvu zako kwenye kuibana Serikali Bungeni ili itekeleze maazimio (maagizo?) ya Kamati/Bunge hasa lile azimio la kutatua hili tatizo la umeme wa dharura! Mheshimiwa usipoziba ufa wa Richmond utajenga ukuta wa Dowans!
 
Hapana sijaandika barua kwa Waziri ili asupport kununua mitambo ya Dowans. Sina mamlaka ya kuingilia manunuzi ya Shirika.

Sikuwa na cha kufanya bali kundika barua kwa Waziri kutoa maoni ya kamati kwa majibu wa kanuni za Bunge.

Umesoma NIpashe la Leo? Bodi ya TANESCO ilitaka walipiwe wabunge 2 kwenda Texas kununua mitambo. Tumefikia hapo? Eti Shirika lilipie wabunge wa kamati ya Nishati na Madini, tena wawili kwenda kununua mitambo ya kuzalisha umeme. Ndio Tanzania mnayoitaka hiyo. Hata iwe miaka 1000 ukweli utadhihiri tu na tutapig mstari na kusema maslahi ya Taifa yalikuwa wapi katika hili.

Sasa hizo statement zako hapo mbili kwenye same reply, sijui niiamini ipi??

Yaani wewe kwenye issue ya dola $90million kulipwa dowans na kujaribu kwenda kwa manufacturer ambaye anaweza kutupa hiyo mitambo kwa about $50million tena mipya na warranty, una question safari ya wabunge wawili Ama??? Kwani safari za mwaka zinazolipiwa na serikali yetu si zaidi ya watu maelfu tena kwenye mambo yasiyo na maana kwenda kujitambulisha blah blah, sasa kwenye hili la maana unaanza kuquestion?? Aisee Mh. Yapi tena yaliyokusibu mbona unakuwa erratic kwenye hili suala??
 
Sheria ya Manunuzi ya Umma ya mwaka 2004 iliyotungwa na Bunge haikatazi kununua vifaa vilivyotumika. It was a spin to serve a certain purpose na sote tukawa tunanukuu bila kutaja ni kipengele kipi cha sheria. Kwa nini wabunge wadanganye Umma ili kujenga hoja yao? Huu ni mjadala mpya kabisa.

Kanuni za manunuzi zinazotungwa na Waziri kwa govt gazzette ndizo zinaelekeza kuwa 'pale inapowezekana, vifaa vinavyonunuliwa viwe vipya'

Baada ya kuwashuku wabunge wenzako kuwa wanaspin sheria ili kujenga hoja zao, nawewe umefanya nini hapo chini (in red)? Hio "pale inapowezekana" hukuiongeza ili kutetea hoja zako za kuwabeba Dowans?...Kanuni inasema SHALL be Brand New, wewe unasema "pale inapowezekana". Yale yale.

Na again, wananchi wanamfuatisha mwalimu wako Prof. Shivji kwamba, DOUBT EVERYTHING!... We are just doing that.
 
Back
Top Bottom