Waheshimiwa Dr. Slaa na Zitto Kabwe:::
Finality ya mazungumzo haya inabidi iwe hivi ili kwanza kuliokoa taifa kwenye hasara kubwa ya kununua mitambo chakavu ya Dowans na pili kuwaokoa nyie kwenye huu mtego hatari mlioingia either kwa makosa au kwa blackmail/corruption::
1.Zitto na Dr. Slaa wanasema kuwa wao sio watendaji na walikuwa wakitoa ushauri tu kwa Tanesco kiujumla kama options na sio binded.
2.Wanakubali kuwa Tanesco inakabiliwa na uhaba wa 150MW, lakini sheria ya PPRA lazima ifuatwe to the tee na vile vile ni lazima mitambo inunuliwe mipya kwa sababu ukinunua chakavu in few years tutarudi tena kwenye issue hii hii ya 150MW deficit baada ya mitambo ya Dowans kuharibika kama inavyotarajiwa na vijana wa mjini.
3.Ngeleja na Tanesco ndio wenye maamuzi ya mwisho, na maamuzi yoyote watakayofikia bunge litayapitia kwa uangalifu mkubwa kumake sure kuwa Pesa za walipa kodi hazijatumiwa kifisadi na sheria zote za jamhuri zilizotungwa na Bunge including PPRA zimefuatwa to the tee.
4.Mambo ya kutumia kigezo cha giza kila mwaka for the last 20 yrs ni ishara tosha kuwa kuna matatizo makubwa Tanesco na shirika hili liwaambie wananchi mipango yake ya 1yr, 3 yrs, 5yrs nk ili maamuzi yafanywe kwa long term benefits na sio kukurupuka kila mwaka.
Finally usemi ufuatao utulinde kwenye huu ufisadi wa kina Rostam
Ni Heri kununua mitambo mipya ya umeme na kuteseka na giza kwa miezi michache mwaka 2009, kuliko kununua mitambo chakavu ya Dowans na kuteseka na giza kila mwaka from 2011 mitambo itakapoharibika na kutokuwa na guarantees wala warranty kutoka kwa matapeli Dowans ambao baada ya kuuza mitambo tanesco kampuni nayo inayeyuka.