Don't bet against Magufuli, utaliwa...

Don't bet against Magufuli, utaliwa...

Hivi hao akina karasinga wakipigishwa magoti, serves as a lesson kwa akina Lissu na Mnyika?? kweli? Why are you being so moron... Yaani leo mnajifanya kusahau ni akina nani walikuwa wanapinga au kutetea ESCROW kweli???? au tayari mmeshatoka makaburini tena kwa hii issue na sasa mnajiita Wazalendo?
 
Isiishie kwa kina Ruge na Karasinga. Tunataka pia kujua ni akina nani walichukua mafweza kwa maguni kutoka kwenye zile benki.....
 
Hiki ndicho ninachozungumzia; mbele ya Magufuli Singh itabidi aaumue alale nacho au azungumze. Nilivyomuona tu leo ile hofu aliyokuwa nayo inakuambia ataimba kama kasuku...

Mzee Mwanakijiji;
Kama umeliona hilo, na ninavyo wafahamu hao wa kabila hilo, sidhani ka Hakimu aliwawekea tarehe ya mbali, hatahudhuria mahakamani. Atakuwa kwisha resti ini piisi. Banyani hajui jela kukoje. Huyu atakuwa wa kwanza kulala humo siku 2. Uliona alivyoshindwa hata kuchuchumaa akapiga magoti??
 
Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!

Wahamisha magoli wawe waangalifu

Mkuu ni kweli kabisa, hakuna aliyehujumu anayeweza kuamini tena kuwa fedha yake haramu unaweza kuwa ni kinga kwake.

Leo Waziri akiitwa Ikulu sio yale mambo ya miaka hiyo mpaka akanunue suti mpya.

Well done His Excellence President John P.J. Magufuli.
 
[emoji1] [emoji1] seth na mabibo beer wamepiga kichura chura
 
usiwe na haraka subiri kwanza mwenendo wa kesi
Ni kweli MKUU,lakini hii pia ni hata kubwa sana ambayo haijawahi tokea.Lazima tupongeze Kwa uthubutu maana waliotangulia wameshindwa.
 
Well, many politicians and lawyers of great repute have predicted gloom and doom for Magufuli from day one. Many fell on their faces.

MMK is just reminding the likes of them not to engage in fools errands anymore.
Prediction - at least intelligible prediction- requires some semblance of a consistent pattern to work with.

Magufuli can hardly claim to have one.


How can anyone make intelligible prediction on the musings of an uncultured power drunk tyrant who is bent on making a name for himself as the people's president?

He can shift the narrative and goalposts at any moment and direct "The Ministry of Truth" to ban your existence at a whim.

How do you bet against such a monster, other than that the second law of thermodynamics will eventually take care of him?
 
mapema sana kusema usi bet against magu coz zipo area kadhaa unajua ukiweka bet against yy lazima utamla tuu mf uuzaj nyumba za silikali unaweza bet kuwa hatogusa ishu ya uuzaj nyumba za serikal wakat wa awamu iliyopita na kwa odds yyte lazima utakula tuu

pia najiuliza toka lini pccb wameanzisha utalatibu huu wa kiki coz hawa ni moja ya taasis ambazo tumezoea kuona wanafanya kaz kwa ukimya sana ila ajab leo wameita media's, kwa speed hii ipo siku tutapeleka mtu mahakaman kwa matalumbeta

,hata real Madrid akija bongo huwez bet kilahisi et kuwa atazifunga timu zote bila yeye kupoteza wala kutoa draw...so ni mapema sana ku_generalize kuwa magu ni untouchable and unpredictable...... tibaijuka be prepared mama.,
Tatizo sio mapema,uthubutu huu unaofanywa sasa ni mwanzo mzuri unaohitaji support.
 
Mkuu;
Chonde chonde; kwetu kuna kamsemo; Kuona ganda la ndizi zio kuila. Umetangulia kutuhabarisha kuwa; Wenzetu Kenya walimshindwa. Hukumbuki ni nini kilimtoa kwenye lile tundu la sindano?? Huyu jamaa hali peke yake. Kumbuka kuwa, wale waliobeba mihela kwa mifuko ya sandarusi kutoka pale Bank hadi leo, hata tu kuwataja majina yao ni kukufuru. Upo hapo?? Huwezi mwita mama mkwe wako kwa jina lake. Leo, Sigh atawatajaje hao waliojibebea mihela ile?? Sio rahisi kama ufikiriavyo. Aweza chomoka hivi hivi ukimuangalia na ukaambiwa, ni marufuku kufukua kaburi lake
Hukumu siyo muhimu ila iptl haiwezi pewa leseni wakati hawa wapo lupango. Karasinga najua aliitwa tu!
 
Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!

Wahamisha magoli wawe waangalifu
Nothing new, wamebadili mlio wa bunduki lakini risasi ni ile ile ya plastic
 
Hapa ni dalili kuubwa kabisa ya kukosa Noah zetu! hoja ya Accacia inafungwa rasmi ukiangalia kwa darubini!
Mimi nilikuwa sielewi mnavyosema Noah zetu, kumbe mligawa ule mlungula wa makanikia kuwa Noah, asanteni. Namkumbuka Ole Sendeka aliambiwa alipata ziro six, sasa move inaanza ila isijegeuka ya kichina. Ikawa na mwanzo, mwisho ikawa haina.
 
Nimesikiliza hii kesi hapa Chanel ten naona wanaongea maswala ya uraia wa Seth na kufoji nyaraka za usajiri wa kampuni kwa huyu Mzee wa kihaya sijasikia ESCROW hata neno moja
 
Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!

Wahamisha magoli wawe waangalifu

Magufuli ni tapeli na mnafiki! Alimteua Muhongo kwa vijembe na matarumbeta, licha ya kujiuzulu kwake kwa kashfa ya Escrow, leo unamsifia?

Sielewi hii logic!!

Okay, what is going to happen na Kikwete sasa? Maana Kikwete didn't see anything wrong with the Escrow saga! Ama ndiyo muendelezo wa kuwalinda wastaafu!

[HASHTAG]#MagufuliIsAPhony[/HASHTAG]
 
Prediction - at least intelligible prediction- requires some semblance of a consistent pattern to work with.

Magufuli can hardly claim to have one.


How can anyone make intelligible prediction on the musings of an uncultured power drunk tyrant who is bent on making a name for himself as the people's president?

He can shift the narrative and goalposts at any moment and direct "The Ministry of Truth" to ban your existence at a whim.

How do you bet against such a monster, other than that the second law of thermodynamics will eventually take care of him?

Since independence we have had these so-called "cultured" leaders who were predictable and consistent. Look at where they got us today.

What many Tanzanians expect from Pres. Magufuli are not musings, as you put it, they are expectations based on demonstrated performances.

Tanzanians may not be able to predict what he will do next, but one thing is for sure, they will like the outcome, if past is prologue.
 
Back
Top Bottom