MohabeOTarime
Member
- Feb 8, 2017
- 20
- 16
Hakuna aliye juu ya sheria. Na hata Lowasa pia atakuwa na siku yake Maalum kukutana na Pilato
At the heart of your post there is a non sequitur argument that since cultured leaders have failed, uncultured ones and buffoons have a chance to prove the opposite.Since independence we have had these so-called "cultured" leaders who were predictable and consistent. Look at where they got us today.
What many Tanzanians expect from Pres. Magufuli are not musings, as you put it, the are expectations based on demonstrated performances.
Tanzanians may not be able to predict what he will do next, but one thing is for sure, they will like the outcome, if past is prologue.
Subirini tu Babu yenu na Richmond yake. Mtaandamana mpaka MonduliCheerleader at your best
Richmond anakuja. Mtaenda kumsaidia kuchonga ng'ombe MonduliNa wewe umeshaingia katika huo mtego?
Waliochota hizo fedha kwa sandarusi kupitia stanbick unawajua?
Aendelee kwanini kwamba yeye ni nyoka wa makengeza. Atasahau mambo ya uheshimiwaChenge nafikiri amesikia.
Root cause analysis...umuhimu uko kule kwenye matatizo yanapoanziaNa wewe umeshaingia katika huo mtego?
Waliochota hizo fedha kwa sandarusi kupitia stanbick unawajua?
Na ya kivuko kibovu itakuja miaka ijayo.Richmond anakuja. Mtaenda kumsaidia kuchonga ng'ombe Monduli
nini kimebadilika nchii hii mkuu unasukumwa na hisia kuliko uhalisia wa mambo.Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!
Wahamisha magoli wawe waangalifu
ukiona unafungwa unakimbiza goli wasikufunge zaidi.What is kuhamisha magoli please
Na hawa hawaliotajwa kupokea zile pesa wote wanatakiwa kuwekwa chini ta uchunguzi tena mkali. Wamehusika kula hela ya ummaKama mtu alimtimua best wake, akamuondoa bila ving'ora mpiga debe wa chama chake, sidhani kama unaweza kujaribu kucheza kamari dhidi yake na ukaweka hela zako kwamba "hatafanya"... utaliwa..
Ningekuwa mimi ni Tibaijuka, Chenge n.k ningekuwa naishi kwa wasiwasi sana..
Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!
Wahamisha magoli wawe waangalifu
Mimi Na Bet Kuwa 'PIGA UA MAKONDA HATUMBULIWI HATA AKOSEE VIPI'..Kama mtu alimtimua best wake, akamuondoa bila ving'ora mpiga debe wa chama chake, sidhani kama unaweza kujaribu kucheza kamari dhidi yake na ukaweka hela zako kwamba "hatafanya"... utaliwa..
Ningekuwa mimi ni Tibaijuka, Chenge n.k ningekuwa naishi kwa wasiwasi sana..
mkuu