Don't bet against Magufuli, utaliwa...

Ujuha mzigo mkubwa sana! Kutoka mtu aliyepata heshima kubwa ndani na nje ya nchi ya kujenga hoja zenye nguvu sana kwa miaka mingi kutetea maslahi na demokrasi ya nchi yetu hadi kufikia kuwa KIKARAGOSI cha muongo, fisadi na dikteta uchwara.

Wahenga hawakukosea waliposema, “Umdhaniaye ndiye kumbe siye”
mkuu hili jamaa ni la hovyo sana.NIliwahi komaa nalo gumu sana kipind cha nyuma.Lilikuwa linakuja na theories zake za kipuuzi.Za kuchambua failure za chadema bila kuja na success za ccm.Na hizo failure mara zote ni very illogical. Walikuwa anahimiza sana kusema kuwa ccm ina mizizi vijijini.Niliwahi weka thread hapa mods wakaitoa nikihoji ni vijiji gani ccm inapenda hivyo na vina watu wengi kiasi gani?Watu wengi wapo crowded mjini.Cover up ya vijijini ilikuwa zuka kuficha urahisi wa kuiba kura vijijini na ugumu wa kuthibitisha km kweli zote ni kura halali. Sasa ccm wanajuta sana majiji yanajisema yenyewe ,ndio yenye pesa.Sasa wanaamua kuhujumu .Hawajui lazim wachague moja wahujumu na uchumi wa nchi ufe au waruhusu chadema wang`ae.
 
Mleta mada kuna kitu inaitwa kufukua makaburi nakula matapishi.

Wenzako walikuja naporojo za kuhamia dodoma saivi wanasema yaliopita si ndwele tugange yajayo.



Kuweka akiba ya maneno ni jambo zuri.
Makamu anahamia Dom hivi karibuni...[HASHTAG]#Dontbetmagufuli[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom