Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,724
- 165,132
Aliehamisha magoli ni CAG.Magoli yenyewe haya sasa...
Siku hizi unaingia humu kwa kuvizia unasubiri siku jamaa akifanya tukio ndio nawe unaibuka.
Aliehamisha magoli ni CAG.Magoli yenyewe haya sasa...
Hivi Mwanakijiji hii ni mara yako ya kwanza kuona watu wakipelekwa mahakamani?!
Labda nikukumbushe....
Lyumba baada ya "kuitia hasara" ya mabilioni ya pesa serikali, alipelekwa mahakamani na akaishia kufungwa miaka 2.
Daniel Yona na Mramba walipelekwa mahakamani kisha wakahukumiwa na kuishia kufanya usafi hospitali!!!
Yule jamaa wa Richmond nae alifikishwa mahakamani sidhani kama natakiwa kukumbusha!!!
Mafisadi EPA waliambiwa warudishe pesa staili ambayo imekuwa pia ikifanywa na JPM na walioshia kufungwa na mafisadi uchwara kama akina Maranda!!!
Sasa kinachokufanya umsifie JPM ni nini as if ni jambo jipya?! Au atavaa joho mwenyewe na kusimamia shoo?!
Yaani na maturity yako yote uliyonayo kwenye siasa bado unasukumwa na pepo nyepesi namna hii!!!!
Mzee mwenzangu hapo ungesema ningekuwa mimi Tibaijuka, change ningejiandaa kama Donald Trump anavyojiandaa na kutafuta mawakili nguli kabla halijanifikia.Kama mtu alimtimua best wake, akamuondoa bila ving'ora mpiga debe wa chama chake, sidhani kama unaweza kujaribu kucheza kamari dhidi yake na ukaweka hela zako kwamba "hatafanya"... utaliwa..
Ningekuwa mimi ni Tibaijuka, Chenge n.k ningekuwa naishi kwa wasiwasi sana..
Mbona hujamulewa MM hao kina yona walikua wakati wa Magufuli? Sentensi fupi tu hamuilewi jamani?Hivi Mwanakijiji hii ni mara yako ya kwanza kuona watu wakipelekwa mahakamani?!
Labda nikukumbushe....
Lyumba baada ya "kuitia hasara" ya mabilioni ya pesa serikali, alipelekwa mahakamani na akaishia kufungwa miaka 2.
Daniel Yona na Mramba walipelekwa mahakamani kisha wakahukumiwa na kuishia kufanya usafi hospitali!!!
Yule jamaa wa Richmond nae alifikishwa mahakamani sidhani kama natakiwa kukumbusha!!!
Mafisadi EPA waliambiwa warudishe pesa staili ambayo imekuwa pia ikifanywa na JPM na walioshia kufungwa na mafisadi uchwara kama akina Maranda!!!
Sasa kinachokufanya umsifie JPM ni nini as if ni jambo jipya?! Au atavaa joho mwenyewe na kusimamia shoo?!
Yaani na maturity yako yote uliyonayo kwenye siasa bado unasukumwa na pepo nyepesi namna hii!!!!
Leo tena wana CCM wote wamejitoa ufahamu wanshangilia na hili, si mlisema escrow si mali ya serikali? Na Ruge ni mfadhili wa lichama lenu ambalo soon linakufa??
Hujui Yona na Mramba wametoka kipindi cha utawala gani kati ya Kikwete na Magufuli? Masamaki je?Mbona hujamulewa MM hao kina yona walikua wakati wa Magufuli? Sentensi fupi tu hamuilewi jamani?
Hivi unadhani kumpigisha magoti Karasinga mchezo?
Sasa ulitaka kama mahakama iliwapa kifungo kidogo wakati wa Kikwete basi Magufuli awaweke tena ndani ili akufurahishe wewe?Hujui Yona na Mramba wametoka kipindi cha utawala gani kati ya Kikwete na Magufuli? Masamaki je?
Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!
Wahamisha magoli wawe waangalifu
Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!
Wahamisha magoli wawe waangalifu
Ndiyo yeye Kenya walimshindwa ila hapa TZ hachomoki!Mkuu;
Huyo hapo ni Habinder Sigh wa Escrow?? Kama ni yeye, nasema hata Thorton ataleta hizo Noah zetu.
Unachosahau ni kwamba kwa cheerleaders kama wewe vigelegele vya kijinga mara nyingi hufunika kabisa ukosoaji wa busara. Hapa hekima inatakiwa...kumbuka mkurupukaji kula king si ajabu, anaweza hata kula king wake.Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!
Umeanza sifa za kifacebook bwana mzee!! Hii post yako ingekuwa na maana kama uwepo wa Magufuli ungesaidia kupunguza ugumu wa naisha. Yuko nje ya matarajio ya wengi.
Sasa hapo umejibu swali au umeuliza swali?Sasa ulitaka kama mahakama iliwapa kifungo kidogo wakati wa Kikwete basi Magufuli awaweke tena ndani ili akufurahishe wewe?
Hakuna case ya kushinda hapo ni sanaa kwenda mbele. Serikali itashindwa Tukukuru sijui kututu hawana ushahidi. Sijawahi kusikia Tukukuru kushinda case ya aina yoyote hata ya kuiba kuku. Hiki kitengo kifutwe wanatumia kodi zetu bureWatu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!
Wahamisha magoli wawe waangalifu
Usikimbilie kuniita roho mbaya...kwani mangapi yamemshinda na anaishia njiani na mengi ni yao uongo tu? Haaminiki tena huyo mzee wenu