DOKEZO Dola zimeadimika, bei ya black market ni Tzs 3000-3200 kwa noti za $.50 & 100

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama una account bank yenye hiyo hela kwa Shilingi,
Waambie unaowalipa huko china wakupe account namba za benk zao (bank details)
Ukienda bank kwako hapa Bongo, waambe wakupe form ya Bank transfer , waambie unataka kulipa hela China. watakupa rate ambayo utajaza baada ya hapo Bank yako itabadilisha yenyewe kwa rate ya siku hiyo na kulipa Bank ya China
Pole sana kwa Changamoto....
Asante sana kwa ushauri mzuri sana ngoja niufanyie kazi
 
R.I.P Magufuli
Hahahaaahaaaa aisee pole Sana hakika wewe ni mshamba Sana na hujiekewi!! Ndio nyie mliamini Magufuli alikuwa Mungu!! Kwa taarifa Yako hili ni tatizo la Dunia nzima hata angekuwepo huyo Mungu wako lingetokea tuu!!?
NB : Mama kapandisha mishahara,madaraja,pia ameajiri wakati Mungu wako walishindwa!!!
Suk gang ziiiiiiiiiiii
 
Sio Kenya tuu Hadi Uturuki..

Ni hivi mfumuko wa bei ya vitu Duniani ulioanzia kwenye Uviko na Sasa vita za Ukraine umesababisha shida hiyo kwenye Nchi nyingi za Dunia.

Kuanzia Ghana Hadi Egypt huko wanaomba mikopo imf Ili kukojoa uchumi zao..
Tanzania tuna nafuu sana na kinachotuokoa ni kwamba vyakula vingi hatuagizi Nje,sie vitu vya viwandani ndio tunaagiza so Serikali inaweka kufanya rationing na maisha yakaenda vizuri.
Nchi hii tuna import matakataka mengi yasiyokua na tija. Mfano uingizaji wa pikipiki hizi substandard ni muda muafaka kuzuia. Lazima kukomesha uagizaji wa vitu vinavyopatikana nchini ili kuwa na balance of trade. Watu wanaingiza mpaka furnitures kutoka nje wakati tuna miti na mbao za kutosha na mafundi wazuri. Huu ujinga wanaulea serikali yenyewe. Ban imports za matakataka yasiyo na faida.
 
Kula mtori nikulipie at least umetoa facts!! Kuna mwehu mmoja kamkumbuka jiwe
 
Kwa zaidi ya siku 10 nimekuwa nikitafuta dola 12,000 kwa ajili ya kuweza kuagiza vitu fulani China.

Nimezunguka kwenye mabenki yote makubwa, jibu lao hatuna USD. Nimeenda bureau de change, nako nimezunguka sana.

Jana jioni nikafika kwenye duka moja la kubadilishia fedha, nilipoingia ndani wakaniambia hawana dola, nikatoka nje. Mlinzi akaniita, akasema dola ni Tzs 3,200/ nikasema that's too much, wakanishusha hadi 3,000/-

Mama yangu Samia Suluhu Hassan, hii hali ni mbaya, huko tunakoelekea nchi itaweza kuingia kwenye mfumuko mkubwa sana wa bei, hyper inflation, maana dola ni adimu, inapatikana kwa gharama kubwa. Hii itapelekea kupanda sana kwa bei ya bidhaa hasa ukizingatia zaidi ya 95% ya bidhaa tunazozitumia tunaagiza kutoka nje ambako tunanunua kwa pesa za kigeni

Ila jamaa wewe ni muongo, unachangamsha jukwaa siyo?

Wewe unataka kulipia kitu china, unasema dollar 12,000 halafu unazunguka mjini kutafuta kubadilisha nataka nkuulize hivi,

Hivi huko unakotaka kulipia Bidhaa china unataka kulipa cash huku ukiwa bongo ?

Hakuna namna ya mfumo wa malipo china kama si kwa E-Transfer(Bank,Paypal,Apple pay,etc na hapo Nimeweka ambazo hazifanyi kazi bongo ila hapo kenya zinakubali)

-Kama unalipa Agency iliyo China Unaweza ukalipa kwa shillings kwenye Actual/Virtual mastercard mtandaoni halafu wao wata-convert kwa ratio ya siku husika(Sheria za nchi zinawabana kufanya transcation in both currency)

-Kama ni Benki si ukachukue transfer form utume na benki husika ndo iwalipe huko china.

Unakuja kutudanganya hapa kuwa umezunguka sijui wapi sijui wapi eti dollar hamna na unataka kulipa kitu china.

HATA KAMA UNATAKA KULIPA SHIPPING AGENT KAMA KINA SILENT OCEAN NA KILIMANJARO UNAWEZA KUWALIPA KWA TSH NA WAO WAKAKUPA RATE YA CONVERSION YA SIKU HIYO UKALIPA UKASEPA

ACHA UONGOOOO,NA KOMA KUDANGANYA UMMA WA WATANZANIA
 
Nchi hii tuna import matakataka mengi yasiyokua na tija. Mfano uingizaji wa pikipiki hizi substandard ni muda muafaka kuzuia. Lazima kukomesha uagizaji wa vitu vinavyopatikana nchini ili kuwa na balance of trade. Watu wanaingiza mpaka furnitures kutoka nje wakati tuna miti na mbao za kutosha na mafundi wazuri. Huu ujinga wanaulea serikali yenyewe. Ban imports za matakataka yasiyo na faida.
Tukizuia Vijana watafanya biashara gani?
 
Uchumi ukiimarika ni yeye, ukisinyaa sio yeye
Ndio kwani Kuna Kiongozi anafanya kazi Ili uchumi usinyae? Kuna external shocks ziko Nje ya uwezo wa Serikali, Serikali inachoweza kufanya ni kupunguza Makali tuu kama wanavyofanya Sasa rationing
 
Ila jamaa wewe ni muongo, unachangamsha jukwaa siyo?

Wewe unataka kulipia kitu china, unasema dollar 12,000 halafu unazunguka mjini kutafuta kubadilisha nataka nkuulize hivi,

Hivi huko unakotaka kulipia Bidhaa china unataka kulipa cash huku ukiwa bongo ?

Hakuna namna ya mfumo wa malipo china kama si kwa E-Transfer(Bank,Paypal,Apple pay,etc na hapo Nimeweka ambazo hazifanyi kazi bongo ila hapo kenya zinakubali)

-Kama unalipa Agency iliyo China Unaweza ukalipa kwa shillings kwenye Actual/Virtual mastercard mtandaoni halafu wao wata-convert kwa ratio ya siku husika(Sheria za nchi zinawabana kufanya transcation in both currency)

-Kama ni Benki si ukachukue transfer form utume na benki husika ndo iwalipe huko china.

Unakuja kutudanganya hapa kuwa umezunguka sijui wapi sijui wapi eti dollar hamna na unataka kulipa kitu china.

HATA KAMA UNATAKA KULIPA SHIPPING AGENT KAMA KINA SILENT OCEAN NA KILIMANJARO UNAWEZA KUWALIPA KWA TSH NA WAO WAKAKUPA RATE YA CONVERSION YA SIKU HIYO UKALIPA UKASEPA

ACHA UONGOOOO,NA KOMA KUDANGANYA UMMA WA WATANZANIA
Kama hauko kwenye soko la Mzunguko wa Hela wa Wafanya Biashara huwezi elewa alichokisema Mkuu hapo. Wewe umekomalia tu kupanic. Nshomile mutu Ya Bukoba kaa kidogo kweny Soko la Wafanya Biashara wanaoagiza mzigo China ndo uje kuandika upya.

Kwan kukusaidia tu mfano mdogo ni kwamba Kuulipia tu mzigo Kweny Cargo ukitoka china ni Mfumo wa Dola na Siyo Tsh!
 
Ndio kwani Kuna Kiongozi anafanya kazi Ili uchumi usinyae? Kuna external shocks ziko Nje ya uwezo wa Serikali, Serikali inachoweza kufanya ni kupunguza Makali tuu kama wanavyofanya Sasa rationing
Huna medula
 
Back
Top Bottom