Malungwana
Senior Member
- Sep 14, 2013
- 187
- 99
Habari wana jamvi?
Naomba kuuliza kwa wanaofahamu na kujua sababu, ni kwa nii noti za USD hasa za noti ya dola 100, ambazo zinamwaka chini ya 2006 inakua ni ngumu/haiwezekani kabisa kuzibadilisha ukiwa Dar? kuna sababu gani hasa ya msingi na kwa nn zinakataliwa? je BOT au taasisi za kifedha zinafahamu hili? na kama zinafahamu, kupitia jukwaa hili naomba leo litolewe darasa la sababu gani hasa inapelekea hivyo?
Nilikua Dar juzi,mimi nilikua na rafiki zangu kutoka USA, tukawa sasa tunataka kwenda kutembelea mbuga ya mikumi, sasa hatukua na fedha za kitanzania za kutosha, ikabidi tuende ku change kwenye maduka ya kubadilishia fedha, cha kushangaza wakawa wanaangalia mwaka wa not, zile ambazo ni chini ya 2006 wanaturudishia wanasema hizi hazitakiwi, sasa wale wenzangu wakawa wanashangaa, pesa hizo wametoka nazo USA na nchini mwao zinatumika, inakuaje nchi ambazo sio pesa zao wazikatae? tena kuna mdada mmoja katika hilo duka la kubadilishia fedha akawa anajibu kwa ukali na kujiamini kabisa, kua hizo pesa hazitakiwi na aliyekupa anatakiwa kushtakiwa kabisa.....mpaka tukamshangaa,
Noti hizohizo tulipokua Zanzibar yaani wala hazikua na tatizo tena wanabadilisha bila wasiwasi, tatizo ni Dar, hv ni kwa nn?
Naomba kujulishwa kwa wenye uelewa wa hili jambo.