Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 969
- 1,267
Et mkuu amempa barua ya kumfukuza kwenye mtihani ikibainisha dogo ataleta sifuri.......hakuna kitu km hicho wewe ndugu ya dogo ambaye kwa hisia zangu huyo dogo ni nunda bila shaka.....alikuwa haiji shule na kwa maksudi akijua atakuja tu kufanya mtihani..... sasa hata ufanye nini dogo amesharudia darasa maana baraza huwa hawatoi mtihani mara mbili.....pili nendeni hatua kwa hatua ili kubaini tatizo....tatu huyo mkuu wa shule hata awe kwenye makosa atalindwa na mfumo....nne tafuta suluhu kwa njia ya amani.