Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,723
Nendeni hapo shuleni japo ni kama mitihani wamemaliza.
Nenda kaonane na mkuu wa shule akushauri.
Japo kuna watoto watukutu na wazazi wengi japo wanajua ila hawawakemei.
Kama atakuwa ameonewa ndo tupige kelele.
Pole, hawa watoto watawaua wazazi kwa pressure na sukari.