TumeelUnapompeleka mtoto bwenini. Usimamizi wa kuhakikisha anahudhuria vipindi vya masomo darasani ni mzazi au mkuu wa shule?
Wewe mwenyewe umesema aliwahi kuwa mtukutu hadi akahamishiwa boarding, maanake hata Mzazi wake alimshindwa akaamua kuwasikumia walimu zigo. Sasa unafikiri Mwalimu yupo kwa ajili ya kufukuzana na Mwanafunzi mmoja tu huko maporini wanakojificha wakat wa vipindi. Hiyo shule ina wanafunzi Wangapi hadi wahangaike na huyo kichwa maji. Narudia,usishupaze shingo, utafeli.Unapompeleka mtoto bwenini. Usimamizi wa kuhakikisha anahudhuria vipindi vya masomo darasani ni mzazi au mkuu wa shule?
ThanksFanya hivi
Nenda kwa mkuu wa shule,kazungumze nae,hakuna mkuu atamfukuza mtoto chumba cha mtihani bila sababu.siku ya mtihani msimamizi mkuu ndio mwenye mamlaka,mkuu anakuwa ni msaidiz kwa mambo ya kiutawala tu.
Usiporidhika na majibu yake,nenda kwa afisa elimu,au kwa RAS ,Huko ndio utapata msaada wa haraka.
Necta hawatadeal na mtu ambae hawana script(mtihani wake) na kama utasaidiwa basi ni kwa kuchelewa ila RAS ndio msaada wa karibu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeel
Wewe mwenyewe umesema aliwahi kuwa mtukutu hadi akahamishiwa boarding, maanake hata Mzazi wake alimshindwa akaamua kuwasikumia walimu zigo. Sasa unafikiri Mwalimu yupo kwa ajili ya kufukuzana na Mwanafunzi mmoja tu huko maporini wanakojificha wakat wa vipindi. Hiyo shule ina wanafunzi Wangapi hadi wahangaike na huyo kichwa maji. Narudia,usishupaze shingo, utafeli.
Andika jina la shule,wilaya naBrothers and sisters naombeni msaada, nini kifanyike au wapi naweza kupata haki?
Mdogo wangu alikua anasoma Form Two mwaka huu 2022 shule ya kata, lakini juzi kipindi wanaanza kufanya mitihani akiwa chumba cha mtihani Mkuu wa Shule alimfata na kumwambia atoke nje, alipotoka Mkuu wa Shule alimpa barua arudi nyumbani na kumwambia hastahili kufanya mitihani kwa sababu ataongeza zero katika shule yake!
Mzazi alipoenda shule kuulizia akaambiwa mwanao alikua mtoro, lakini mama akasema tangu lini na madaftari ya mahudhurio yanaonyesha yupo shule na alikua anaishi bwenini? Lakini kwa maelezo ya dogo anasema alikuwa anaambiwa na Mkuu huyo wa shule kuwa asijisumbue kusoma kwa sababu hataruhusu amalize kwenye shule hiyo.
Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
Hapo kuelewa zaidi inabidi zisikilizwe pande zote 2Loooh kuna jambo halipo. Sawa.
Ili kutopoteza muda muwekeni dogo kisaikolojia kisha mwakani asajili kufanya mtihani wa qualifying test na 2024 afanye paper la form four kama mtahiniwa wa kujitegemea easy like that msifanye mambo kuwa mengi maana mpaka uchunguzi ufanyike mtapoteza hela na muda....Brothers and sisters naombeni msaada, nini kifanyike au wapi naweza kupata haki?
Mdogo wangu alikua anasoma Form Two mwaka huu 2022 shule ya kata, lakini juzi kipindi wanaanza kufanya mitihani akiwa chumba cha mtihani Mkuu wa Shule alimfata na kumwambia atoke nje, alipotoka Mkuu wa Shule alimpa barua arudi nyumbani na kumwambia hastahili kufanya mitihani kwa sababu ataongeza zero katika shule yake!
Mzazi alipoenda shule kuulizia akaambiwa mwanao alikua mtoro, lakini mama akasema tangu lini na madaftari ya mahudhurio yanaonyesha yupo shule na alikua anaishi bwenini? Lakini kwa maelezo ya dogo anasema alikuwa anaambiwa na Mkuu huyo wa shule kuwa asijisumbue kusoma kwa sababu hataruhusu amalize kwenye shule hiyo.
Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
ThanksIli kutopoteza muda muwekeni dogo kisaikolojia kisha mwakani asajili kufanya mtihani wa qualifying test na 2024 afanye paper la form four kama mtahiniwa wa kujitegemea easy like that msifanye mambo kuwa mengi maana mpaka uchunguzi ufanyike mtapoteza hela na muda....
Chukua huu ushauri utakusaidia.
Mwanafunzi; Meshack Ahmad
Kidodoma Secondary School (Tunduru,Ruvuma).
Mkuu wa Shule Addo (sijajua jina kwa urefu mpaka nifatilie)