Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,670
- 34,480
Ok sawaNdiyo, kwa mfano alisajiliwa na hakuhudhuria shule zaidi ya siku 90. Anakuwa amejifuta shule hata kama alisajiliwa kufanya mtihani.
Huyu siku ya mtihani hataruhusiwa

kabla ya kumlaumu mkuu pia mfundishen huyo kijana wetu awe na nidham , hz vita zinaishiaga huku , ingawaj mkuu hakupaswa kufanya hivyo maana anamtoa kijana kwenye reli huend hata akirudia ki psychology kijana atakuwa destroyed na hatakuwa 50% 50% kukaa kweny reli , ongeeni vzr na mwl kama yakiisha mkifika home pia mjengeni mtoto , wapo watoto wanadharau sana walimu huenda akiangalia background yake na maisha ya mwl husika , Nliwai kuwa mwl miaka ya nyuma naelewa jns mwl anaeza akawa tricked kufanya uov bila kutarajia hasa kwa vijana waliobarehe tyrBrothers and sisters naombeni msaada, nini kifanyike au wapi naweza kupata haki?
Mdogo wangu alikua anasoma Form Two mwaka huu 2022 shule ya kata, lakini juzi kipindi wanaanza kufanya mitihani akiwa chumba cha mtihani Mkuu wa Shule alimfata na kumwambia atoke nje, alipotoka Mkuu wa Shule alimpa barua arudi nyumbani na kumwambia hastahili kufanya mitihani kwa sababu ataongeza zero katika shule yake!
Mzazi alipoenda shule kuulizia akaambiwa mwanao alikua mtoro, lakini mama akasema tangu lini na madaftari ya mahudhurio yanaonyesha yupo shule na alikua anaishi bwenini? Lakini kwa maelezo ya dogo anasema alikuwa anaambiwa na Mkuu huyo wa shule kuwa asijisumbue kusoma kwa sababu hataruhusu amalize kwenye shule hiyo.
Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
hatujaambiwa kama kasajiliwaKwani mtoto anapokuwa mtoro haruhusiwi kufanya mitihani kama kasajiliwa ?
alisajiliwa ?Baada ya kufatilia kwa kina inaonekana ashawahi kuwa mtoro miezi ya nyuma yaani mwezi wa tano hivi Kama sikosei hakwenda shule Kama wiki 2 hvi lakini mother alipogundua alilifix na kumuhamishia hostel tangu hapo aliishi bwenini mpaka siku ya mtihani lakini pia hakuwai kupewa barua yoyote ya onyo baada ya hapo.
Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
Brothers and sisters naombeni msaada, nini kifanyike au wapi naweza kupata haki?
Mdogo wangu alikua anasoma Form Two mwaka huu 2022 shule ya kata, lakini juzi kipindi wanaanza kufanya mitihani akiwa chumba cha mtihani Mkuu wa Shule alimfata na kumwambia atoke nje, alipotoka Mkuu wa Shule alimpa barua arudi nyumbani na kumwambia hastahili kufanya mitihani kwa sababu ataongeza zero katika shule yake!
Mzazi alipoenda shule kuulizia akaambiwa mwanao alikua mtoro, lakini mama akasema tangu lini na madaftari ya mahudhurio yanaonyesha yupo shule na alikua anaishi bwenini? Lakini kwa maelezo ya dogo anasema alikuwa anaambiwa na Mkuu huyo wa shule kuwa asijisumbue kusoma kwa sababu hataruhusu amalize kwenye shule hiyo.
Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
Huyu alikuwa mtoro mkuu wa shule alimaanisha atakariri darasaBrothers and sisters naombeni msaada, nini kifanyike au wapi naweza kupata haki?
Mdogo wangu alikua anasoma Form Two mwaka huu 2022 shule ya kata, lakini juzi kipindi wanaanza kufanya mitihani akiwa chumba cha mtihani Mkuu wa Shule alimfata na kumwambia atoke nje, alipotoka Mkuu wa Shule alimpa barua arudi nyumbani na kumwambia hastahili kufanya mitihani kwa sababu ataongeza zero katika shule yake!
Mzazi alipoenda shule kuulizia akaambiwa mwanao alikua mtoro, lakini mama akasema tangu lini na madaftari ya mahudhurio yanaonyesha yupo shule na alikua anaishi bwenini? Lakini kwa maelezo ya dogo anasema alikuwa anaambiwa na Mkuu huyo wa shule kuwa asijisumbue kusoma kwa sababu hataruhusu amalize kwenye shule hiyo.
Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
Sifa namba 1 awe mwanafunziMtoto hawezi kufanya mitihani kama hakusajiliwa tu.
Utoro hauwezi kumzuia kufanya mitihani.