Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,792
Weka majina matatu ya dogoKidodoma Secondary School
Tunduru, Ruvuma
Weka majina matatu ya dogoKidodoma Secondary School
Tunduru, Ruvuma
Nipatie yakeHii sio hii Ni ya mkuu wa shule ambae alihama
ThanksIsijekuwa huyo dogo anakuza Mambo if kafukuzwa j.tatu anabidi aende amalizie mitihani iliyobaki na kuingia form 3 inabid Apate D mbili
Kuweni serious na shule maana ukisema umpeleke VETA bila kuwa na cheti Cha Form four bado ni changamoto kufikia dreams zako
Ili Jambo libebe kwa ukubwa ili lisimuathiri bwana Mdogo kisaikolojia trust.
Mtaje jina na shule anayosoma na malalamiko yaende NECTA unaogopa Nini!!?Brothers and sisters naombeni msaada, nini kifanyike au wapi naweza kupata haki?
Mdogo wangu alikua anasoma Form Two mwaka huu 2022 shule ya kata, lakini juzi kipindi wanaanza kufanya mitihani akiwa chumba cha mtihani Mkuu wa Shule alimfata na kumwambia atoke nje, alipotoka Mkuu wa Shule alimpa barua arudi nyumbani na kumwambia hastahili kufanya mitihani kwa sababu ataongeza zero katika shule yake!
Mzazi alipoenda shule kuulizia akaambiwa mwanao alikua mtoro, lakini mama akasema tangu lini na madaftari ya mahudhurio yanaonyesha yupo shule na alikua anaishi bwenini? Lakini kwa maelezo ya dogo anasema alikuwa anaambiwa na Mkuu huyo wa shule kuwa asijisumbue kusoma kwa sababu hataruhusu amalize kwenye shule hiyo.
Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
Brothers and sisters naombeni msaada, nini kifanyike au wapi naweza kupata haki?
Mdogo wangu alikua anasoma Form Two mwaka huu 2022 shule ya kata, lakini juzi kipindi wanaanza kufanya mitihani akiwa chumba cha mtihani Mkuu wa Shule alimfata na kumwambia atoke nje, alipotoka Mkuu wa Shule alimpa barua arudi nyumbani na kumwambia hastahili kufanya mitihani kwa sababu ataongeza zero katika shule yake!
Mzazi alipoenda shule kuulizia akaambiwa mwanao alikua mtoro, lakini mama akasema tangu lini na madaftari ya mahudhurio yanaonyesha yupo shule na alikua anaishi bwenini? Lakini kwa maelezo ya dogo anasema alikuwa anaambiwa na Mkuu huyo wa shule kuwa asijisumbue kusoma kwa sababu hataruhusu amalize kwenye shule hiyo.
Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobi
Ni Chalinze, siyo KibahaFanya kama alivyofanya yule wa kibaha mrekodi tupia mitandaoni mkuu lazima atetemeke akiona tu video imesambaa
Dulla MtoroJina lake please
Shule bi mkubwa alienda hakupewa majibu Wala haki aliyotarajiaSamahani, ni kweli hilo Tatizo limemtokea mdogo wako? Wewe unaishi wapi? Kwanini hukufika shule kuelewa Tatizo umekuja mitandaoni? Nadhani ungeanzia shule Kama umeona Haki haikutendeka ndio utafute msaada zaidi
Ni dawa nzuri Kwa Mkuu Wa Shule lakini si dawa nzuri Kwa NECTA.Na kwa nini awe mtoro? Huo mtihani anaufanyaje mtu ambaye ni mtoro? Hiyo dawa aliyoichukua Mkuu wa shule ndiyo nzuri! Ni kumtimua moja kwa moja akachekee kijiji cha Mtakanini!
Mkuu wa shule ni sehemu ya usimamizi kwenye chumba cha mtihani anaingiaMtaje jina na shule anayosoma na malalamiko yaende NECTA unaogopa Nini!!?
Halafu mkuu wa shule haruhusiwi kuingia kwenye chumba cha mtihani KWANINI aliingia!!?
Wewe weka wazi mkuu wa shule hana mamlaka ya kuamua kuishi kwako ni mtu tu!!