Duh!! Hii imekuwa hadi kwa wake....balaaa. mie nilijuaga ni kwa vile vi sly queens vinavhofajamia savannah na desparado tuuKuna sehem nmeona. Mwanamke kamuandalia birthday party mme wake nyumbani.... Ilivoisha kwenda chumbani mwanaume akaomba wanywe wine..... Mwanamke amekuja kushtuka sa nane asubui hana malinda