DODOMA: Zitto na kamati yake wamekesha

DODOMA: Zitto na kamati yake wamekesha

Ngoja naacha kazi zote za kiofisi nitizame Binge;naomba Kamati ya PAC itutendee haki watanzania.
 
Escrow ni kokoro.

Tumeaminishwa ya kwamba report itakuwa na mambo mazito pamoja na mapendekezo mazito; sasa ikiwa haina kitu, kokoro la Escrow litaikumba Kamati ya Zitto.



Nipo pamoja na wewe mkuu, siwezi isifia kamati ya PAC chini ya Zitto Kabwe kabla haijatoa ripoti bungeni. Kukesha siyo hoja, hoja ni kwa nini umekesha. Tunataka matokeo yenye impact kwa Taifa
 
Safi sana tunategemea report nzuri
leo kidogo umekuwa na akili na umeweka masilahi mapana ya taifa mbele. hujaweka masilahi ya kina mbowe-slaa-lema mbele. maana siku zote umekalia kumtukana zitto tu.
 
Mungu yu nanyi.nikiwa hapa ujilanini Rwanda,nami leo runinga yangu iko sawa.hakuna kazi nyingine zaidi ya kukaa runingani na kufuatilia bunge

mkuu hata mimi nipo hapa kigali lkn kwa mapenzi yangu ya inchi yangu nachelewa sana kulala na nawahi kuamka ili nipate update zinazojiri nyumbani.......TUSEME ENOUGH IS ENOUGH!.......MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
leo kidogo umekuwa na akili na umeweka masilahi mapana ya taifa mbele. hujaweka masilahi ya kina mbowe-slaa-lema mbele. maana siku zote umekalia kumtukana zitto tu.

Abunuas
Naitegemea na Kuiamin PAC na simuamini mnafiki Zitto. Nae anafahamu hilo.

Zitto wa Buzwagi siyo Zitto wa Escrow take it from me.

Keep waiting mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom