DODOMA: Zitto na kamati yake wamekesha

DODOMA: Zitto na kamati yake wamekesha

Hata wewe leo?!!! Kweli wonders shall never end.

Yaani nashukuru Li-ESCROW limekuja kwa wakati muafaka,watu wameanza kuokoka.Sikutegemea kabisa kuna watu watasupport UTAIFA wao leo.watakuwa kwa hakika wanaumizwa na matukio ya wizi wanayofanya viongozi.Ila wasiishie hapa tu waende mbali na kuwaacha kuwachagua wale wote waliopokea pesa na wanaotumia pesa kupata vyeo
 
Naona Vijana machachali.....
1.luhaga Joelson Mpina
2.zitto Zubeil kabwe
3.Deo filikunjombe
.....Tanzania itawakumbuka
 
Hivi jamani Tanzania kuna watu wako chini ya sheria na wengine wako juu ya sheria maana mpaka sasa ilitakiwa wote wahusika wawe chini ya ulinzi mkali hadi isomwe ripot lakini nashangaa kuona watu wako mtaani wanakula bata.
Hiyo ndo chichiem mwana wane; wanaweza kufanya lolote kwenye hii nchi na wasifanywe kitu na katiba inayopendekezwa inwasaidia kuendelea kuwa walivyo!
 
Ni muda muafaka kwa vijana kukamata atamu katika nyanja muhimu za ungozi wa nchi ili kusaidia wale waliokosa fursa za kusoma kutokana na kadhia za kifisadi hawa wazee wanatia aibu nchi yetu yenye utajiri wa kila aina, Big up Zitto na kamati yenu.
 
Jamani mimi nimechoka kuwapa kampani hawa jamaaa. Maaana Twitter, FB na Instagram kote tunaendelea kukamua.

Hivi kama kuna watu wanaweza kuwatumia movies au tv shows wapoteze muda please do so. Lakini nawaaminia hawa walipitia JKT so.


10810048_545009738966631_948544126_n.jpg

kumbe Mpina Jembe ni Kijana hivi
 
Back
Top Bottom