DODOMA: Zitto na kamati yake wamekesha

DODOMA: Zitto na kamati yake wamekesha

CRITICAL MIND

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
416
Reaction score
404
Jamani mimi nimechoka kuwapa kampani hawa jamaaa. Maaana Twitter, FB na Instagram kote tunaendelea kukamua.

Hivi kama kuna watu wanaweza kuwatumia movies au tv shows wapoteze muda please do so. Lakini nawaaminia hawa walipitia JKT so.


10810048_545009738966631_948544126_n.jpg
 
Safi sana tunategemea report nzuri
 
Nimeipenda sana hii! hii ya kutokulala hadi kieleweke ni noma! inaonesha vijana wapo tyr kwa vita.

Ila sijapenda taarifa kuwa baadhi ya wajumbe wa PAC wa CCM walienda kuwa-brief wenzao kikaoni--IKULU ndogo DODOMA.
 
Hongereni vijana! Toeni hiyo mizee mijizi kabisa! Imeiba toka Uhuru mpk leo na ndiyo imedidimiza nchi kwa akili finyu na ujambazi wa Mali za umma!
Hivi vijana tunashindwa nini kuji organize tukakamata mmoja mmoja na kuchinja mpk ikaisha?
Jeshi liko wapi? Tutoleeni hii system ovu iliyojaa ufisadi wizi na uuaji!
 
Wawe makini jamaa wasiwawekee Arsenic Poison. Angalizo tu, wanaweza kulichukua wakalifanyia kazi au kulitupilia mbali.
 
jamani mimi nimechoka kuwapa kampani hawa jamaaa. Maaana twitter na fvb na insta kote tunaendelea kukamua

hivi kama kuna watu wanaweza kuwatumia movies au tvshows wapoteze muda please do so. Lakini nawaaminia hawa walipitia jkt so...


10810048_545009738966631_948544126_n.jpg
shikamooni
 
Back
Top Bottom