CCM na viongozi wake wote wako JUU ya sheria kiukweli wahusika wote wa UNYANG'ANYI huu walitakiwa wawe RUMANDE mungu tunusuru na hili GENGE la majambazi na WABINAFSI wao ndio bora sisi sio BORA,sisi wa kufungwa jela wao wakila kwa raha vya UPORAJIHivi jamani Tanzania kuna watu wako chini ya sheria na wengine wako juu ya sheria maana mpaka sasa ilitakiwa wote wahusika wawe chini ya ulinzi mkali hadi isomwe ripot lakini nashangaa kuona watu wako mtaani wanakula bata.
Escrow ni kokoro.
Tumeaminishwa ya kwamba report itakuwa na mambo mazito pamoja na mapendekezo mazito; sasa ikiwa haina kitu, kokoro la Escrow litaikumba Kamati ya Zitto.
Utazani wanachuo wanajiandaa kwa paper ya asubuhi.
Escrow ni kokoro.
Tumeaminishwa ya kwamba report itakuwa na mambo mazito pamoja na mapendekezo mazito; sasa ikiwa haina kitu, kokoro la Escrow litaikumba Kamati ya Zitto.
For now usaliti wa Zitto nauweka kando issue za kichama zilale chini kwa muda utaifa mbele!!Yani kukesha kote huku intarahamwe wafanye ubazazi wao waone nguvu ya umma...#bringbackourmoney #
SIJAONA ULICHOPOST NILITEGEMEA ARTICLE YENYE MASHIKO...hapo kichwa na habari havina uhusiano.....
tunataka vitu vya ukweli ngoja twende TBC kama umemem hautatakatika
CHEZEA
CDM kwa wivu hakuna anayemsifia Zitto kwa umahiri wake wote wanaogopa kumpa pongezi!
Any way ZZK hongera kwa kusimamia kamati yako vizuri!
CCM na viongozi wake wote wako JUU ya sheria kiukweli wahusika wote wa UNYANG'ANYI huu walitakiwa wawe RUMANDE mungu tunusuru na hili GENGE la majambazi na WABINAFSI wao ndio bora sisi sio BORA,sisi wa kufungwa jela wao wakila kwa raha vya UPORAJI
Unaongea nini, mbona hueleweki? Au ndiyo hizi elimu za kukariri za kata. Wakati fulani kukaa kimya huficha udhaifu.
It has nothing to do with CHAMA when it comes kwenye Maslahi ya TAIFA, kama umeona anastahili pongezi inabidi umpongeze ukiwa kama MTANZANIA.
After all Kamati ina mchanganyiko wa vyama vingi.
Uko wapi kafulila?
Jamani mimi nimechoka kuwapa kampani hawa jamaaa. Maaana Twitter, FB na Instagram kote tunaendelea kukamua.
Hivi kama kuna watu wanaweza kuwatumia movies au tv shows wapoteze muda please do so. Lakini nawaaminia hawa walipitia JKT so.
![]()