gungu yetu
Senior Member
- Dec 23, 2013
- 176
- 60
npo lecturer nw bt npo online kwa kila dakika tumechoka na mizee hii
Mambo ya kutoboa halafu unalala kwenye mtihani ...Ole wao kukikucha wateme pumba huko bungeni...
Bora wa lale sasa kesho waamke na nguvu mpya . Wasipo Lala sasa wa wata Lala bungeni .
Just saying .
Hawa ni watu wa shoka kuna mapunguani humu kila siku walikuwa wanatuaminisha kuwa zito msaliti kanunuliwa sasa hivi wanabidi wachutame.
Kwa nini ZZK aliruhusu waende, mi nakwambieni mafisadi wana nguvu utashangaa ripoti itawasilisha kitu kipya kabisaaaa
Jama bunge linaanza sangapi?