DODOMA: Zitto na kamati yake wamekesha

DODOMA: Zitto na kamati yake wamekesha

Jamani mimi nimechoka kuwapa kampani hawa jamaaa. Maaana Twitter, FB na Instagram kote tunaendelea kukamua.

Hivi kama kuna watu wanaweza kuwatumia movies au tv shows wapoteze muda please do so. Lakini nawaaminia hawa walipitia JKT so.


10810048_545009738966631_948544126_n.jpg

Msituangushe vijana wenzetu. Tunawategemea sana kuokoa hili taifa.
 
Hawa ni watu wa shoka kuna mapunguani humu kila siku walikuwa wanatuaminisha kuwa zito msaliti kanunuliwa sasa hivi wanabidi wachutame.
Tezi dume
Hiyo ni kazi ya kamati ya PAC wala si kazi ya Zitto.

Mwambie asome majina ya Uswiss.

Zitto wa Buzwagi siyo Zitto wa Escrow by Mchambuzi
 
Last edited by a moderator:
Bora wa lale sasa kesho waamke na nguvu mpya . Wasipo Lala sasa wa wata Lala bungeni .
Just saying .

Wameona wakilala wanaweza wasiamke. wakajikuta wamelala usingizi wa milele. Chezea mafisadi wewe?
 
ESCROW naona imetuunganisha kuliko muungano tulionao
 
wameshaanza hila zao. wameliahirisha bunge bila kuisoma taarifa na haieleweki kua jioni itasomwa au la.
 
Wanaionea huruma Tanzania dhidi ya mikupe inayonyonya jasho la wengi wakajineemeshe na familia Zao, Nchi itawaheshima na kuwapa tuzo wasiyoijua
 
Duuuuh kaz ipo hapa na mi ctoki nangoja nione mwisho wake lazima tutambuane hii nchi
 
Acheni kujisumbua na mambo msioyajua, fanyeni kazi mjiletee maendeleo,
 
Tezi dume
Hiyo ni kazi ya kamati ya PAC wala si kazi ya Zitto.

Mwambie asome majina ya Uswiss.

Zitto wa Buzwagi siyo Zitto wa Escrow by Mchambuzi

Nafikiri kama kuna mtu kaumizwa na hili sakata basi wewe na wajomba zako Mchambuzi na NguruV3 mtakua mmeguswa sana kiasi kwamba mnajiaibisha hata jinsi mnavyochangia mnaonekana wazi. Mkisikia Jina la Zito mnatamani ardhi ipasuke muingie... mlimtukana sana, mkampaka sana matope na kinyesi cha usaliti kwa kulipwa na mabwana zenu wa ufipa lakini leo anaibuka shujaa akiwa na tumbili(sisimizi) mwenzie... ila kumbukeni leo wakati tunawapiga nyundo ya kichwa ccm, wakati huohuo tutakuwa tunapiga nyundo mwenyekiti wa kudumu a.k.a mfalme. Si unajua tena naye ka mgao alimegewa ki aina...

Endelea kutoa mapovu ila ukumbuke saa 11 tunakata mzizi wa fitina ili watanzania wawajue wanafiki na wasaliti halisi wa taifa hili badala ya kuwa mnawapakazia na kuwachafua washindani zenu kwa tamaa zenu za kung'ang'ania madaraka.

Hili kokolo la leo litasomba kuanzia nyangumi, papa,sangara,vibua,dagaa mpaka mazalia ya samaki.
 
Last edited by a moderator:
Du!. unaonekana unamchukia sana Zitto. alikuibia demu nini. maana ninachokiona juu ya ubaya wa zitto ni siasa tu na masilahi. jamaa kangilia masilahi ya watu (majuzi kidogo fisadi mkono alikuwa atuage baada ya kuingilia masilahi ya mafisadi wengine).
labda ngoja na mimi nisubiri huenda nikauona huo ubaya wa zitto siku moja.
kwa heri.

Abunuas
Naitegemea na Kuiamin PAC na simuamini mnafiki Zitto. Nae anafahamu hilo.

Zitto wa Buzwagi siyo Zitto wa Escrow take it from me.

Keep waiting mkuu.
 
Back
Top Bottom