DODOMA: Zitto na kamati yake wamekesha

DODOMA: Zitto na kamati yake wamekesha

mkuu hata mimi nipo hapa kigali lkn kwa mapenzi yangu ya inchi yangu nachelewa sana kulala na nawahi kuamka ili nipate update zinazojiri nyumbani.......TUSEME ENOUGH IS ENOUGH!.......MUNGU IBARIKI TANZANIA

Kaka nilikuwa Kigali jana..sasa nipo Rubavu..ntakuwa huko Ijumaa mkuu...Yatosha Sasa...silali ..leo nimeamua hata kusitisha shughuli.nataka nifuatilie hadi nijue hatima ya sakata hili
 
Hapa wako kamili gado walipokuwa wanalinda ripoti yao isichakachuliwe na mafisadi. Walifanikiwa kuilinda hadi pale iliposomwa Leo bungeni. Hakika mafisadi hawakuigusa.
 

Attachments

  • 1417028198474.jpg
    1417028198474.jpg
    34.7 KB · Views: 1,246
Back
Top Bottom