Nafikiri kama kuna mtu kaumizwa na hili sakata basi wewe na wajomba zako Mchambuzi na NguruV3 mtakua mmeguswa sana kiasi kwamba mnajiaibisha hata jinsi mnavyochangia mnaonekana wazi. Mkisikia Jina la Zito mnatamani ardhi ipasuke muingie... mlimtukana sana, mkampaka sana matope na kinyesi cha usaliti kwa kulipwa na mabwana zenu wa ufipa lakini leo anaibuka shujaa akiwa na tumbili(sisimizi) mwenzie... ila kumbukeni leo wakati tunawapiga nyundo ya kichwa ccm, wakati huohuo tutakuwa tunapiga nyundo mwenyekiti wa kudumu a.k.a mfalme. Si unajua tena naye ka mgao alimegewa ki aina...
Endelea kutoa mapovu ila ukumbuke saa 11 tunakata mzizi wa fitina ili watanzania wawajue wanafiki na wasaliti halisi wa taifa hili badala ya kuwa mnawapakazia na kuwachafua washindani zenu kwa tamaa zenu za kung'ang'ania madaraka.
Hili kokolo la leo litasomba kuanzia nyangumi, papa,sangara,vibua,dagaa mpaka mazalia ya samaki.
Leo ni leo bila kujari kikwete wala mbowe tutawahukumu wote