Bora wa lale sasa kesho waamke na nguvu mpya . Wasipo Lala sasa wa wata Lala bungeni .
Just saying .
jamani mimi nimechoka kuwapa kampani hawa jamaaa. Maaana Twitter na FVB na Insta kote tunaendelea kukamua
Hivi kama kuna watu wanaweza kuwatumia movies au tvshows wapoteze muda please do so. Lakini nawaaminia hawa walipitia JKT so...
![]()
Nimeipenda sana hii! hii ya kutokulala hadi kieleweke ni noma! inaonesha vijana wapo tyr kwa vita.
Ila sijapenda taarifa kuwa baadhi ya wajumbe wa PAC wa CCM walienda kuwa-brief wenzao kikaoni--IKULU ndogo DODOMA.
"NINA UCHUNGUUUUU..... kumbe kuna ka Billioni 1.5 kwenye akaunti inapumua.
Mpaka kieleweke
Vita gani? wezi wakubwa nyinyiKweli hii ni zaidi ya vita duu!
Vita gani? wezi wakubwa nyinyi
Utazani wanachuo wanajiandaa kwa paper ya asubuhi.jamani mimi nimechoka kuwapa kampani hawa jamaaa. Maaana Twitter na FVB na Insta kote tunaendelea kukamua
Hivi kama kuna watu wanaweza kuwatumia movies au tvshows wapoteze muda please do so. Lakini nawaaminia hawa walipitia JKT so...
![]()