Bunge kwa kushirikiana na CRDB wamefanya mashindano ya Michezo mbalimbali huku ubunifu mkubwa ukiwa Kwenye Shindano la Kula Ubwabwa

Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Dr Mpango aliyesindikizwa na Spika Tulia na Waziri mkuu mh Majaliwa

Wabunge walioshindana Kula Ubwabwa wameonekana kuufurahia sana mchezo Huo

Source: Clouds

Sabato Njema Watanganyika!
Sasa na wewe hujagundua kuwa huo ni uskenge?
 
Mambo ya ajabu ajabu ndiyo wanayapa kipaumbele

Ova

Ni Kweli mambo ya ajabu ajabu wao ndiyo wapo mstari wa mbele kufanya alafu wakati wapo ndani ya bunge wanasahau yake yote wananchi wanapitia. Na baada ya hapo wanakuwa wa kwanza kupiga mahesabu ya mapato yao tuu na Ndiyo maana kila mtu anakuambia nataka nigombee ubunge na siyo kumsaidia mwananchi bali kujipigia au kuchota kila litakalowezekanika kuchotwa

Ova
 
Bunge kwa kushirikiana na CRDB wamefanya mashindano ya Michezo mbalimbali huku ubunifu mkubwa ukiwa Kwenye Shindano la Kula Ubwabwa

Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Dr Mpango aliyesindikizwa na Spika Tulia na Waziri mkuu mh Majaliwa

Wabunge walioshindana Kula Ubwabwa wameonekana kuufurahia sana mchezo Huo

Source: Clouds

Sabato Njema Watanganyika!
Hakuna wabunge bali wezi wakubwa
 
Back
Top Bottom