DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Acheni ndoto za alinacha. Uchochezi usiokuwa na tija. Tujaribu kuwa wazalendo. Watanzania hatuna tabia hiyo PERIOD!! tungoje vyombo vyetu vituhabarishe sio kurukia treni kwa mbele.
Lini wamewahi kutuabarisha? Mawazo, Bensa8, Roma, Nape, Lisu, Azory, n.k? Wahusika hawawezi kujichunguza. Jiongeze mkuu.
 
Kama una tip yoyote kuhusu hao watekaji nenda polisi. Kwani umesikia Serikali imekataa kupokea tip za wananchi? Toeni funza kwenye akili zenu and stop unnecessary criticism.
Nilimwambia jamaa Fulani akanipuuza, just see , it is Thursday again

Una akili za kichawi. Itabidi tuangalie family tree yako.
 
Back
Top Bottom