DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Muda huu ndio amepakiwa kwenye ndege ila kwakweli bado yuko kwenye drip.

Ndege ilnayomchukua ni Jet ya kampuni ya Flight Link.

Ni bahati tu huu uwanja umewekwa taa hivi karibuni vinginevyo sijui ingekuwaje.
Mwenyezi Mungu amtangulie apone haraka Mh. Tundu A. Lissu
 
Muda huu ndio amepakiwa kwenye ndege ila kwakweli bado yuko kwenye drip.

Ndege ilnayomchukua ni Jet ya kampuni ya Flight Link.

Ni bahati tu huu uwanja umewekwa taa hivi karibuni vinginevyo sijui ingekuwaje.
Nyie vipi sasa. Si mlishaleta picha ya chopa iliyompeleka huyo Lisu Nairobi. Sasa tena oh taa ndio zimewekwa bla bla bla. Tumuamini nani? Kila mtu anajifanya anajua kinachoendelea. Mara Kubenea na mchango sijui nini, duh.
 
Acha unafki mkuu mapambano yataendelea . Pita hivi.
Unafiki UPI mkuu? Wewe umelala kwako raha tuliii sisi tunauguza. Mtatuambia alikuwa shujaa pengo lake halizibiki.
Mawazo familia inateseka, wangwe pengo limezibwa watoto wanahaha, Mwangosi mjane anapata shida na iringa mwandishi keshaziba pengo.
Msitudanganye.
Ukirudi baba tuachane na siasa. Tuendeleze uwakili tuuu.
 
Nyie vipi sasa. Si mlishaleta picha ya chopa iliyompeleka huyo Lisu Nairobi. Sasa tena oh taa ndio zimewekwa bla bla bla. Tumuamini nani? Kila mtu anajifanya anajua kinachoendelea. Mara Kubenea na mchango sijui nini, duh.
"huyo Lisu"
Najikuta nagugumia kuandika.
 
Muda huu ndio amepakiwa kwenye ndege ila kwakweli bado yuko kwenye drip.

Ndege ilnayomchukua ni Jet ya kampuni ya Flight Link.
Ni bahati tu huu uwanja umewekwa taa hivi karibuni vinginevyo sijui ingekuwaje.
kwani mkuu alivyotolewa dodoma alipelekwa nairobi au muhimbili??
 
Back
Top Bottom