GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na Mpina wanadai kuwa INEC ilikiuka Katiba, Sheria na Kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Urais uliofanyika Agosti 27, 2025.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, maamuzi ya karibuni yametolewa tarehe 28 Agosti 2025, Jaji wa Mahakama Kuu amesema Mahakama imeipa Serikali muda wa siku tano pekee kujibu madai ya ACT na kwamba ombi la upande wa Serikali la kuongezewa siku 14 kwa ajili ya kuwasilisha majibu limekataliwa.

Soma Pia: ACT wanaituhumu INEC kuwa ni aibu kwa tume kumzuia mpina kurejesha fomu

Aidha, Mahakama imebainisha kuwa endapo itajiridhisha kuwa INEC ilikiuka Katiba, Sheria na Kanuni katika kumzuia Mpina kurejesha fomu, inaweza kutoa amri ya kumpa fursa ya kurejesha fomu na kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Katika uamuzi huo, Mahakama pia imesisitiza maslahi mapana ya kitaifa yaliyomo kwenye kesi hiyo.

“Kwa kuzingatia kuwa shauri hili lina maslahi mapana ya kitaifa na umma, Mahakama imetoa maagizo kwamba kesi itatajwa na kuanza kusikilizwa kwa njia ya mtandao tarehe 3 Septemba 2025, saa 3:00 asubuhi. Wananchi wote wamekaribishwa kufuatilia mwenendo wa kesi kupitia kiunganishi (link) kitakachotolewa na Mahakama”, imeeleza taarifa ya ACT.

Mapema katika matamko yake, ACT-Wazalendo ilieleza kuwa uamuzi wa INEC unakwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheria za Uchaguzi na haki za kiraia za mgombea. Chama hicho kimeiomba Mahakama kutoa amri ya dharura ya kusitisha utekelezaji wa uamuzi huo ili kumruhusu Mpina kuendelea na mchakato wa kugombea Urais.

Chanzo: Jambotv
 
COURT BRIEF MPINA VS INEC_page-0001.jpg

TAARIFA KWA UMMA
MAHAKAMA KUU YATOA MUDA WA SIKU 5 KWA SERIKALI KUJIBU KESI YA ACT WAZALENDO DHIDI YA TUME YA UCHAGUZI
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, katika kesi ya ACT Wazalendo na Ndugu Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Tume ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, imetoa uamuzi muhimu tarehe 28 August 2025, kuhusiana na madai ya ukiukwaji wa Katiba, Sheria na Kanuni za uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa urais uliofanyika tarehe 27 August 2025.

1. Muda wa Kujibu:
Mahakama imeipa Serikali muda wa siku 5 pekee kujibu madai yaliyowasilishwa na ACT Wazalendo na Ndugu Luhaga Joelson Mpina. Ombi la upande wa Serikali la kuongezewa siku 14 kwa ajili ya kuwasilisha majibu limekataliwa.

2. Msingi wa Kesi:
Mahakama imetamka kuwa, licha ya zoezi la uteuzi kumalizika jana tarehe 27 August 2025, endapo itajiridhisha kuwa Tume ya Uchaguzi ilikiuka Katiba, Sheria na Kanuni katika kumzuia Ndugu Luhaga Joelson Mpina kurejesha fomu, haitasita kutoa amri ya kumpa fursa ya kurejesha fomu na kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

3. Maslahi ya Umma na Usikilizaji wa Kesi:
Kwa kuzingatia kuwa shauri hili lina maslahi mapana ya kitaifa na umma, Mahakama imetoa maagizo kwamba kesi itatajwa na kuanza kusikilizwa kwa njia ya mtandao tarehe 3 Septemba 2025, saa 3:00 asubuhi. Wananchi wote wamekaribishwa kufuatilia mwenendo wa kesi kupitia kiunganishi (link) kitakachotolewa na Mahakama.

Imetolewa na:
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo
28 August 2025
 
View attachment 3456432

Mbwa akikaribia kufa hasikii harufu ndiyo sawa na Buyobe sasa keshapoteza thamani ya stori zake za magumashi ameamua kuwa kama Mwamakula kutafuta uungwaji mkono kwa Kuinasibisha ACT na Chama tawala
 
View attachment 3456432
TAARIFA KWA UMMA
MAHAKAMA KUU YATOA MUDA WA SIKU 5 KWA SERIKALI KUJIBU KESI YA ACT WAZALENDO DHIDI YA TUME YA UCHAGUZI
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, katika kesi ya ACT Wazalendo na Ndugu Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Tume ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, imetoa uamuzi muhimu tarehe 28 August 2025, kuhusiana na madai ya ukiukwaji wa Katiba, Sheria na Kanuni za uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa urais uliofanyika tarehe 27 August 2025.

1. Muda wa Kujibu:
Mahakama imeipa Serikali muda wa siku 5 pekee kujibu madai yaliyowasilishwa na ACT Wazalendo na Ndugu Luhaga Joelson Mpina. Ombi la upande wa Serikali la kuongezewa siku 14 kwa ajili ya kuwasilisha majibu limekataliwa.

2. Msingi wa Kesi:
Mahakama imetamka kuwa, licha ya zoezi la uteuzi kumalizika jana tarehe 27 August 2025, endapo itajiridhisha kuwa Tume ya Uchaguzi ilikiuka Katiba, Sheria na Kanuni katika kumzuia Ndugu Luhaga Joelson Mpina kurejesha fomu, haitasita kutoa amri ya kumpa fursa ya kurejesha fomu na kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

3. Maslahi ya Umma na Usikilizaji wa Kesi:
Kwa kuzingatia kuwa shauri hili lina maslahi mapana ya kitaifa na umma, Mahakama imetoa maagizo kwamba kesi itatajwa na kuanza kusikilizwa kwa njia ya mtandao tarehe 3 Septemba 2025, saa 3:00 asubuhi. Wananchi wote wamekaribishwa kufuatilia mwenendo wa kesi kupitia kiunganishi (link) kitakachotolewa na Mahakama.

Imetolewa na:
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo
28 August 2025
Ngoja tufanye reservation ya coments
 
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na Mpina wanadai kuwa INEC ilikiuka Katiba, Sheria na Kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Urais uliofanyika Agosti 27, 2025.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, maamuzi ya karibuni yametolewa tarehe 28 Agosti 2025, Jaji wa Mahakama Kuu amesema Mahakama imeipa Serikali muda wa siku tano pekee kujibu madai ya ACT na kwamba ombi la upande wa Serikali la kuongezewa siku 14 kwa ajili ya kuwasilisha majibu limekataliwa.

Soma Pia: ACT wanaituhumu INEC kuwa ni aibu kwa tume kumzuia mpina kurejesha fomu

Aidha, Mahakama imebainisha kuwa endapo itajiridhisha kuwa INEC ilikiuka Katiba, Sheria na Kanuni katika kumzuia Mpina kurejesha fomu, inaweza kutoa amri ya kumpa fursa ya kurejesha fomu na kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Katika uamuzi huo, Mahakama pia imesisitiza maslahi mapana ya kitaifa yaliyomo kwenye kesi hiyo.

“Kwa kuzingatia kuwa shauri hili lina maslahi mapana ya kitaifa na umma, Mahakama imetoa maagizo kwamba kesi itatajwa na kuanza kusikilizwa kwa njia ya mtandao tarehe 3 Septemba 2025, saa 3:00 asubuhi. Wananchi wote wamekaribishwa kufuatilia mwenendo wa kesi kupitia kiunganishi (link) kitakachotolewa na Mahakama”, imeeleza taarifa ya ACT.

Mapema katika matamko yake, ACT-Wazalendo ilieleza kuwa uamuzi wa INEC unakwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheria za Uchaguzi na haki za kiraia za mgombea. Chama hicho kimeiomba Mahakama kutoa amri ya dharura ya kusitisha utekelezaji wa uamuzi huo ili kumruhusu Mpina kuendelea na mchakato wa kugombea Urais.

Chanzo: Jambotv
ngoja tuone kama siyo gheresha
 
ngoja tuone kama siyo gheresha

..kampeni zilitakiwa zisimamishwe mpaka pale shauri la ACT litakapoamuliwa.

..hata kama watakuja kupewa haki ya kushiriki tayari ACT watakuwa wamepoteza muda wa kampeni.
 
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na Mpina wanadai kuwa INEC ilikiuka Katiba, Sheria na Kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Urais uliofanyika Agosti 27, 2025.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, maamuzi ya karibuni yametolewa tarehe 28 Agosti 2025, Jaji wa Mahakama Kuu amesema Mahakama imeipa Serikali muda wa siku tano pekee kujibu madai ya ACT na kwamba ombi la upande wa Serikali la kuongezewa siku 14 kwa ajili ya kuwasilisha majibu limekataliwa.

Soma Pia: ACT wanaituhumu INEC kuwa ni aibu kwa tume kumzuia mpina kurejesha fomu

Aidha, Mahakama imebainisha kuwa endapo itajiridhisha kuwa INEC ilikiuka Katiba, Sheria na Kanuni katika kumzuia Mpina kurejesha fomu, inaweza kutoa amri ya kumpa fursa ya kurejesha fomu na kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Katika uamuzi huo, Mahakama pia imesisitiza maslahi mapana ya kitaifa yaliyomo kwenye kesi hiyo.

“Kwa kuzingatia kuwa shauri hili lina maslahi mapana ya kitaifa na umma, Mahakama imetoa maagizo kwamba kesi itatajwa na kuanza kusikilizwa kwa njia ya mtandao tarehe 3 Septemba 2025, saa 3:00 asubuhi. Wananchi wote wamekaribishwa kufuatilia mwenendo wa kesi kupitia kiunganishi (link) kitakachotolewa na Mahakama”, imeeleza taarifa ya ACT.

Mapema katika matamko yake, ACT-Wazalendo ilieleza kuwa uamuzi wa INEC unakwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheria za Uchaguzi na haki za kiraia za mgombea. Chama hicho kimeiomba Mahakama kutoa amri ya dharura ya kusitisha utekelezaji wa uamuzi huo ili kumruhusu Mpina kuendelea na mchakato wa kugombea Urais.

Chanzo: Jambotv
Mahakama ikitenda haki, Serikali itashindwa hii kesi kwa aibu. Disqualification haikufanyika kwa sababu za kikatiba. Kanuni inayotengeneza artificial classes za wanachama ni unconstitutional. No preferential treatment should be given to a given class of members. Wanachama wote (old and new) ni sawa.
 
Ushindi wa chadema leo Manyara na Hii ACT sio mbinu za Mahakama hata Lissu akifungwa tujue mahakama ziko huru nawaza tu
 
Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!
Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi wote kwa ujumla. Rais Samia licha ya kuwa makamu wa rais kwa miaka 5 anaonekana hajui matatizo ya watanzania na wala hajui watanzania wanataka nini. Serikali ya Rais Samia kila kukicha inajitenga na wananchi wanyonge kwa kuwapatia huduma mbovu sana kwenye kila nyanja. Rais Samia hajui kukemea rushwa na ufisadi. Hajui umuhimu wa viwanda kwa watanzania .
Kutokana na ulegelege huu ikitokea kwenye uchaguzi mkuu akawekwa Rais Samia na Tundu Lisu basi utabiri wa shehe Yahya unatimia asubuhi na mapema kwa Rais Samia kushindwa vibaya sana kwenye sanduku la kura na Tundu Lisu wa chama cha upinzani kuibuka mshindi na kushika dola.
 
Kwan INEC wametumia vogezo gani au sababu gan had kumzuia Mpina kurudisha fomu? Hawajatoa sababu au ndo hadi tusubiri majibu baada ya siku tano
 
Back
Top Bottom