inec

The INEC card reader is a portable electronic voting authentication device configured to read only the Permanent Voter Cards (PVCs) issued by the Independent National Electoral Commission (INEC) in Nigeria.
The card reader was designed for the accreditation process (authentication of eligible voters before voting). The machine was configured to read only the PVCs of a particular polling unit and can only work on election day.

View More On Wikipedia.org
  1. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania NECTA: Ufaulu matokeo kidato cha sita 2026 ni 99.9%. Ni kwamba elimu imeboreshwa au kuna mtu anafurahishwa?

    Mtihani wa kidato cha sita, takwimu zinaonesha kuwa ufaulu kwa watahiniwa wa shule ni asilimia 99.9, ambapo watahiniwa 125,056 kati ya 125,320 wamefaulu kwa kupata madaraja ya I, 2, 3 na 4." Kuhusu matokeo kwa mtihani wa kidato cha sita, takwimu zaonesha kuwa ufaulu kwa watahiniwa wa shule ni...
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kama mnavyolalamika TLS kutumiwa ndivyo ilivyo na kwa wenzenu wamelalamikia kuwa taasisi zote zinatumiwa na CCM ikiwemo INEC

    Kama mnavyolalamika TLS kusema inatumiwa na chadema ndo ilivyo kwa miaka yote Chadema wanadai au kulalamika kwamba taasisi zote za serikali zimekuwa zikitumiwa na CCM au kupokea maagizo kutoka CCM tena wale viongozi wa kuu wa zile taasisi ni mapandikizi ya CCM na nyie mnajiita chama dola kwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania INEC yateua 17 kugombea Ubunge Jimbo la Isimani kumrithi Lukuvi

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewateua makada 17 kutoka kwenye vyama mbalimbali vya siasa kuwania ubunge wa Isimani mkoani Iringa ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, William Lukuvi, aliyefariki Machi 25, 2026. Watiania walioteuliwa na INEC ni pamoja na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mrithi wa Lukuvi Jimbo la Ismani kujulikana Juni 1, 2026

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ismani, mkoani Iringa na madiwani 12 katika kata mbalimbali utafanyika Juni 1, 2026. Uchaguzi wa mbunge katika jimbo hilo unafanyika kujaza nafasi iliyoachwa wazi na William Lukuvi ambaye alifariki dunia Machi 25, 2026...
  5. Kijukuu cha Tanzania

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulivyoonesha vazi la Demokrasi la Tanzania linavyochakaa kupitia INEC, Vyama vya Upinzani

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano inawekawazi haki za msingi, ikiwemo uhuru wakukusanyika na kujiunga na vyama vyasiasa, uhuru wa...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini mpaka sasa Salum Mwalimu hajarudisha gari na mlinzi alivyopewa wakati wa 'Uchaguzi'?

    Wakuu, Wagombea wote wa Urais isipokuwa ACT Wazelendo waliokataa, walipewa magari ya kutumia wakati wa kampeni, pamoja na walinzi wa kuwa nao muda wote wa kampeni. Kampeni zikiisha wanatakiwa kurudisha magari hayo pamoja na walinzi waliopewa, ambapo wote wamefanya isipokuwa mmoja, Salum...
  7. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt Richard Mbunda: Takwimu za Matokeo ya uchaguzi wa 29/10 haziendani na takwimu za wapiga kura. Wahusika (INEC) wa kutengeneza uongo hawakuwa makini

    https://youtu.be/hCgMt6sD0zM?si=dqkSFZPmFfSlwzUZ Tutaelewana tu Eti jumla ya wapiga kura 32,000,000 plus walitokeza kupiga kura... Kati ya hawa wote eti 98% wakampigia kura Samia Suluhu Hassan wa CCM sawa na karibu nusu ya Watanzania Cha ajabu, huyu mshindi wa 98% anaogopa 2% ambao...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania INEC fanyeni jambo Taifa stars tushinde AFCON dhidi ya Tunisia

    Leo saa 1:00 usiku tuna mechi ngumu dhidi ya Tunisia aliyetoka kufungwa na Nigeria, hii ndo game iliyoshika hatima yetu ya kufuzu 16 Bora Japo ushindi wa Leo unaweza kutufanikisha katika best losers iNEC kama wataalam wa kufanikisha ushindi ni hazina Kwa Taifa fanyeni jambo pale Morocco
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ya CCM itakuwa kama INEC na tume ya uchunguzi

    Kinchoitwa katiba mpya au mabadiliko ya katiba yaliyosemwa na CCM itakuwa kama tume ya uchaguzi ya Mwamengele na Kailima waliyoiongezea neno huru tu wakaanza kuiita INEC badala ya NEC kisha wakasema hiyo hiyo ni tume huru. Itakuwa pia kama tume iliyoundwa leo ya wao wanachoita uchunguzi wa...
  10. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC tunaomba ufafanuzi kwenye hili

    Tume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana! Ukichukua kura 31,900,000 zilizopigwa tarehe 29/10/2025 Ukazigawa kwa masaa48 (siku mbili za kuhesabiwa, Tarehe 30/10/2025 na 31/10/2025) Halafu ukazigawa kwa dakika60 31,900,000 ÷ 48 ÷ 60 = 11,076 Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076.
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi INEC yatoa orodha wabunge viti maalum CCM wapo 113, CHAUMMA 2

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa. Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC mmeonyesha ulimwengu mlivo vilaza, hata kupika takwimu za kuiba kura mnashindwa

    Tulianza kuhoji uhalali wa idadi ya uandikishaji wapiga kura kuwa kwenye idadi ya Watanzania milion 60 huwezi kuandikisha wapiga kura milion 37+, kwenye takwimu za watu idadi ya watoto Huwa ni 45% - 50 % hawa hawapigi kura na Bado wafungwa na mahabusu ambao hawana sifa ya kupiga kura Haya Sasa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan akabidhiwa Hati ya Ushindi na INEC

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Ushindi wa Kiti cha Urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji Jacobs Mwambegele mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tetesi za ndani: Ndani ya saa chache zijazo, INEC wanataka kumtangaza Samia kuwa Mshindi

    Chanzo cha uhakika kinadokeza kuwa mkakati uliopo ni kumtangaza haraka na kumpa hati ya Ushindi Samia Suluhu usiku huu kama Mshindi halali wa “uchaguzi” uliofanyika juzi. Wanachotaka, ni aapishwe mapema iwezekanavyo kisha ‘Kina Mzee Butiko’ waongoze the so called “Maridhiano”
  15. U

    JamiiForums Tanzania INEC - Tanzania: Nani kampigia kura Samia Suluhu? Nani kapiga kura? Acheni ujinga huo mara moja wa kutangaza hayo mnayoita "matokeo ya uchaguzi"

    Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau... Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...? Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
  16. V

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC, Futeni Uchaguzi vinginevyo tutarudi barabarani

    INEC wafute uchaguzi , vinginevyo tunarudi barabarani .. Maandamano yataishi nyumbani kwa WAMBURA na ABDUL
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC: Makarani simamieni viapo vyenu kwa kutunza siri

    Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewaonya makarani watakaotoa taarifa za uchaguzi na kuwataka kusimamia viapo vya utunzaji wa siri katika kipindi chote cha uchaguzi. Onyo hilo limetolewa na Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Njombe Mjini, Samson Meda wakati wa mafunzo kwa makarani waongozaji...
  18. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC, Tunawaomba mturuhusu tupige kura ya Rais, sisi wenye kadi za kupigia kura lakini kazi zetu hazituruhusu kutuliza sehemu moja, asante

    Husika na kichwa Cha habari hapo, Kuna watu wanakadi za kupigia kura lakini kazi zao haziwaruhusu kutulia katika eneo moja, Tunawaomba INEC mturuhusu tupige kura ya Rais kwenye kituo kilicho karibu nasi. Asanteni sana
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC: Watu wenye Ulemavu hawatapanga foleni siku ya Uchaguzi, Oktoba 29, 2025

    MSIMAMIZI wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 katika Mkoa wa Iringa, Bi. Nuru Sovella, amesema kuwa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeweka mazingira rafiki na wezeshi kwa watu wenye ulemavu ili kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika zoezi la kupiga kura Oktoba 29, 2025. Akizungumza na...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC: Walipoteza vitambulisho wa kura, watatumia leseni ya udereva, NIDA na Pasipoti

    Nimeshangaa sana Hiki ni nini? Eti hata kama huna kadi ya mpiga kura usihofu. Mtu utaweza kupiga kura yya Urais 2025 kwa kutumia leseni ya udereva na namba ya nida🤣 Kulikuwa na haja gabu ya kujiandikisha? Nchi yetu imeshanajisiwa.. Mtume Mohammed alishatoa maelekezo kuhusu nani anafaa kuwa...
Back
Top Bottom