DODOMA: Kama Kuna Mdau Muda Huu Upo Macho

DODOMA: Kama Kuna Mdau Muda Huu Upo Macho

dodoma hali ni shwari wananchi wanaendelea na shuhuli zao za kila siku kuwa na amani ndugu uwapo safarini
 
Road block za kutosha tu na walinda Aman wa congo na mitutu yao wana buluza watu watoe vitambulisho .
 
Hawa wasingezima internet bunge lingeenda, ndio maana wakamficha mtu wao
Njia ya bungeni bado imefungwa hadi leo, na utepe umezungushwa…

In away hata hawajali watu wanaofanya baishara maeneo yale … hali zao za kiuchumi zinaathirika vipi.. Wao ilimradi jengo lao lipo salama.

These people!
 
Niambie umbali wake na Tume ya uchaguzi upoje
Mbali sana, labda KM 15. (Sio mkadiriaji mzuri wa umbali.

Unatoka kikuyu then Iringa road, then uzunguni, Then Duwasa sijui mtaa unaitwaje, then Makulu.. then Udom iliyoungana na Njedengwa investment area ambapo iko Tume.
 
Mbali sana, labda KM 15. (Sio mkadiriaji mzuri wa umbali.

Unataka kikuyu then Iringa road, then uzunguni, Then Duwasa sijui mtaa unaitwaje, then Makulu.. then Udom iliyoungana na Njedengwa investment area ambapo iko Tume.
Bodaboda anatumia muda gani
 
Mbali sana, labda KM 15. (Sio mkadiriaji mzuri wa umbali.

Unataka kikuyu then Iringa road, then uzunguni, Then Duwasa sijui mtaa unaitwaje, then Makulu.. then Udom iliyoungana na Njedengwa investment area ambapo iko Tume.
1000144345.jpg

Kwenye hivi vijiji vinavyozunguka Ikulu hali ya Uchumi ikoje hasa kwa vijana, na Wastani wa Elimu yao uko vipi.
 
Wanaoishi kata ya Mbabala Dodoma hapo nasikia kuna msako wa kimya kimya nyumba kwa nyumba kuchukua vijana wa kiume tu muda huu.
Hii Kama kweli rasmi sasa tupo Cosovo.
Tupo Bosnia ...
 
Back
Top Bottom