Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,812
Ni huzuni nilikuwa chahwa 2023 nilipita na baadhi ya vijiji vilivyo jirani hali si rafiki.View attachment 3497768
Kwenye hivi vijiji vinavyozunguka Ikulu hali ya Uchumi ikoje hasa kwa vijana, na Wastani wa Elimu yao uko vipi.