DahWanaoishi kata ya Mbabala nasikia kuna msako wa nyumba kwa nyumba kuchukua vijana wa kiume tu muda huu.
Mh mbona ni hatariWanaoishi kata ya Mbabala Dodoma hapo nasikia kuna msako wa kimya kimya nyumba kwa nyumba kuchukua vijana wa kiume tu muda huu.
Samuya kachanganyikiwa baada ya kibaini ni kwa kiasi gani hakubaliki.Wanaoishi kata ya Mbabala Dodoma hapo nasikia kuna msako wa kimya kimya nyumba kwa nyumba kuchukua vijana wa kiume tu muda huu.
Mtaa Upi ?Mtaani kwangu kimya..
Kikuyu, St. Mary.Mtaa Upi ?
Ukiwa unatoa taarifa hakikisha ni taarifa ambayo una uhakika nayo ili kujiepusha na matumizi ya neno NASIKIA this NASIKIA that.Wanaoishi kata ya Mbabala Dodoma hapo nasikia kuna msako wa kimya kimya nyumba kwa nyumba kuchukua vijana wa kiume tu muda huu.
Wakikugusa hata kwa mchubuko tu,nitafanya jambo Dunia nzima ishangae...Mtaani kwangu kimya..