DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

Wameachiwa baada ya maazimio kupitishwa [emoji23][emoji23][emoji23] mwafwaaaaa!
 
Sasa hapo bashe na msukuma watakua wanamwangalia mwenyeki wao kwa amani kweli!
msikubali kuendeshwa big up bashe& msukuma
 
Yaaani walichofanyiwa ni sawa na enzi zetu unaenda kuruka ukuta uingie kutazama mechi , afu Bahari mbaya ukiingia tu ndani unakuta askari huyu hapa na mbwa , walichokuwa wanafanya askari wale ni kukapa adhabu ya kukapa unaangalia ukutani huku mechi inaendelea afu mchezo ukibakiza dk10 za mwisho ndo wanawaachieni mkaangalie game, kipindi hivyo nilikuwa maalufu kwa kina la "fungulia mbwa".

Sasa hawa jamaa Nimeona wamefanyiwa hivyo hivyo ila tofauti yake tu wao ni kwenye siasa.

Kwani maamuzi yashafanyika na wenye kuvuliwa gamba tayari.
Hivi bado fungulia dogs ipo?
 
ukipinga tu hoja ya mwenyekiti ndani ya ccm jiandae kwenda ccm. haaa haaa mwaka huu ccm tutashuhudia mengi.
 
Biashara ya kudhamini watu mahakamani na polisi sasa itakuwa biashara kubwa,wale jamaa zangu wanaokaaga kisutu wakisubiri wapate kitu kidogo wakudhamini lazima wanapiga hela ndefu


Kamata....kamata...kamata
 
ukipinga tu hoja ya mwenyekiti ndani ya ccm jiandae kwenda sero haaa haaa mwaka huu ccm tutashuhudia mengi.
 
Back
Top Bottom