Doctors

Doctors

Mkuu katika mabeki wa kushoto..mpaka sasa hajatokezea kama Ashley Cole.....Givani Van Bronkost wenger alimbadili akawa mido...ila allikua akijitahidi unapompa shavu la kushoto......Silvinyo....alikua mzuri....Gibbs yuko njiani kufikia ukomavu...Monreal ni middle field zaidi ya beki....
 
Ha ha ha mkuu Aspirin umefikiria mbali sana..ndo maana nkaweka neno kumuuona tu..!! Umenichekesha sana ..
Dr una majibu ya busara mweh
ngoja nitoke kwenye hii thread nisijeingia majaribuni
cc Asprin
 
Last edited by a moderator:
Mimi kama daktari kwa kiasi kikubwa naungana na mtoa post. Wengi wetu ni wavumilivu na tunajali sana, sio ktk romantic relation tu bali ktk utu kwa ujumla. But kama wahenga wanavyosema "kwenye msafara wa mamba na kenge wamo"., kuna baadhi yetu ni beyond repair,. ukikutana nao utajuta. Keep on praying utampata wa kariba yangu na rafiki zangu wengi tu tunaojali familia zetu.
 
Wahandisi watamu bana, mimi zaman nlikua nawapenda sana madaktari ila nikaja kupata muhandisi yani sasa hivi hao madaktari nawaona kama kaka zangu tu.

Haya, Evelyn Salt, charminglady na wengineo mlipotea njia kwa mabazazi ya kidaktari, njooni msome neno la Mungu kama lilivoletwa kwenu na mtakatifu Toplady. Mkimaliza kusoma mseme "Tumshukuru Mungu"

cc Dr.Mo Riwa kwa taarifa.
 
Last edited by a moderator:
Nimesikia kuna uzi mpya huku mmu
unachosema ni kweli hasa wa sikuhizi..na ni kutokana na mazingira tunayokutana nayo... Ukipendwa na daktari akikuacha huwezi dumu na mtu mwingine(ushahidi nnao) ni wavumilivu mno..

Dokta pamoja na madaktari kujenga maadli kutokana na taaluma ila kuna wengine ni bangi tupu na uharo.
 
Uwiiiiiii same thing!!yaan mm nikiona mkaka doc ata awe mbaya vp yaan ,hua namkubali sana am real crazy over them kwakwel,nawapenda mno mno hua naassum vitu vingi sana km nikiwa na mme doc like wtt wangu watakua safe all the tym!!!nawapenda kwakwel ila cjabahatika ata ckumoja Kupata ata doc wa kunikonyeza mpk nimekata tamaaaa yaan!!!

chek like zako , hlf PM mmoja wapo lazma upate daktari kukukonyeza hapo
 
Haya, Evelyn Salt, charminglady na wengineo mlipotea njia kwa mabazazi ya kidaktari, njooni msome neno la Mungu kama lilivoletwa kwenu na mtakatifu Toplady. Mkimaliza kusoma mseme "Tumshukuru Mungu"

cc Dr.Mo Riwa kwa taarifa.
Ila mkuu mabazazi wapo mm kuna mshkaji nimesoma nae ..room yake tulikua tunaita room ya dawa ya usingizi..yaani mkienda mahali dakika tano nyingi kashaibuka na mtu..akija nesi mpya mahali ndani ya siku moja nesi wa watu kashaliwa..
 
Back
Top Bottom