Dr.Mo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 3,809
- 1,653
Ni kweli mkuu..na mm kitu kikubwa nachopigana ni hii kufanya kazii kwa bidii na kuzingatia maadili(hasa kwenye kuheshimu kila mtu hasa wagonjwa)..tuendelee kupigania hilo chiefDokta pamoja na madaktari kujenga maadli kutokana na taaluma ila kuna wengine ni bangi tupu na uharo.