Doctors

Doctors

Kwa kweli madactari walau wanajitahidi kwa sababu wanakutana na mengi sana katika kazi.Tena ukampata anayemjua mungu wake na anajiheshimu utaishije kwa amani na furaha?
Tabu bwana kutana na baadhi ya wahandisi wanaojitambua na fani zao sasa na mkwanja upo hehee, utajuuta kudate au kuolewa naye maana ni nooma kwa michepuko.
 
Hny Nyalotsi naona like tu ila sijasoma comment zako wivu juu msije mkaishia pm lol
Kuanzia leo nakuweka mbali na kabintispecial na wewe mleta m

Ha,ha,ha! Naogopa kuachwa mie! Hawa wa hivi ni michepuko tuu, ila njia kuu upo peke yako. Na njia kuu yangu ina foleni mara chache sana, so service road hazina umuhimu! Teh! Ila uwe makini, wanakujaga kwa kisingizio cha kuumwa aafu akishakutana na handsome Dr anabadili ugonjwa unakuwa karibu na nyeti ili tuu amuoneshe mapaja yake! Na nilivyo HB huwa nayachunguliaje!!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani wivu nliokuwa nao....ngoja nikupigie....

Naona unazidi kujipa promo kwa mleta mada.
😡😡:banghead:
 
Teh,teh! Niweke na kaphoto kangu kabisa nini? Hapa siyo mleta mada tu hata Munkari mwenyewe akipitia atazama PM fastaa! Chezea ndugu na rafiki zako kupitishwa kwenye foleni ya hospitali wewe!!!

😀😀😀🙁😀
 
Last edited by a moderator:
Ndo umemaliza kubeba box nini
Umeandika nn hapa?

Hivi jana hukuona talaka yako??
kwenye ule uzi wa Morg ukawa inaflirt live na visistaduu vya mule ukashindwa hata kunitaja.
Ndo nshakuacha nenda kajinyonge kwa mlenda.
 
Umenchekesha sana.
Ila najua nipo kwenye risk ntafanyaje tena ndo nshapenda 😎😎
 
Last edited by a moderator:
Ndo umemaliza kubeba box nini

Hivi jana hukuona talaka yako??
kwenye ule uzi wa Morg ukawa inaflirt live na visistaduu vya mule ukashindwa hata kunitaja.
Ndo nshakuacha nenda kajinyonge kwa mlenda.

Haaaaa hivi kumbe?😳😳😳
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom